Kumbe neno Mtibeli au Tibeli sio neno rasmi kwenye lugha ya Kiswahili?

Mtibeli ni mtu yeyote anayeogopa wanawake na mwenye chuki kali kwa single mothers. Sifa kuu ya mtibeli ni uoga mbele ya mwanamke.
 
Sasa kumbe alikuwa anatetea kitu kisicho exist? Sasa huo si utoto?
 
Km utibeli/mtibeli ndio maana yake hiyo, basi na mie ni Mtibeli.
 
Hamjambo ndigu zangu Watibeli 😁 !
 
Hilo neno sisi tumelitumia sana shule utaskia jamaa mtabe sana... Ni moja ya neno maarufu sana kwa shule za Dar enzi hizo (sijui kwa mikoa mingine).
Mtabe na mtibeli maneno mawili tofauti.
Mtabe lina maanisha mtu mwenye akili nyingi kwa majina mengine kipanga, genius, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…