britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nina documents kibao nina story za Siri kibao za wakubwa zihusuzo kuhujumu nchi!
Unajua Kwamba ufaransa wajeshi kadhaa wana pesa zaidi Ya 43000€ ni watano
Wajua Kwamba Tuna watu wanakula mshahara wa usaidizi wa mabalozi kila Mwezi 5000€ bila kujulikana popote?
Wajua kuna wakuu wa vyama Vya upinzani 4 ni CCM mamluki Na wanakutana Na uongozi kwenye nyumba fulani kupata mgao wao?
Je wajua Sea Shells kuna pesa imeenda kila mwaka 2016-2020 kila Mwezi 20000€ Na Account yaelekea kuwa dormant now duh
Wajua pamoja Na Mangula kuna wengine wanne walipaswa kuwekewa?
Yapo mengi
Mi Britaniica