Kumbe ni Diwani!

Kumbe ni Diwani!

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
1,472
Reaction score
2,766
"Matusi Yale,dharau zile,kejeli zote,kunyimwa,ujenzi wa Siri,Mateso yale nakumbuka alivyokua anachelewa Toka kwenye kiduka chake Hadi usiku wa saa tano,akifika anafua hadi saa saba ili nilale nisimsumbue ndio aje alale!kumbe ni diwani!
Nikimgusa anarusha miguu kama punda!kumbe ni diwani!!!

Eee diwani!!

Nilimchukua akiwa dhalili Leo ameota pembe kumbe ni maelekezo Toka Kwa diwani,kumbe ndio msimamizi na mshauri mkuu wa ujenzi na hatma ya utumishi wake!

Ndio maana alikua na hofu kuikabili labor wakati ule!alikuosa ujasiri kama Simba jike coz alijua amebeba dhambi kubwa moyoni!!!ndio maana ilitokea hitilafu ile!kumbe ni Mungu alikua analipa!!?

Kweli machozi ya mama ni sumu kumbe diwani ndio alikua mshauri wa ujinga wote ule!!

Na Sasa kahamishia nguvu na hisia kwa mtoto mdogo wa kiume Kama mbadala wangu Baada ya kuharibu!Je anajua kijana akishakuwa atajali hisia za mama!!?

Kumbe alikua ni Diwani!hakuna Siri ya watu wawili!!!

Namtakia yeye na diwani maisha mema"

DIWANI

Story nzuuri ya kusisimua hii!!!nimeipenda sana!!

Kumbe ni diwani
 
Diwani kaharibu hatma na ndoto ya familia ya muungwana!!
Kumbe diwani. Samehe na move on. We ni wa thamani kuliko mtu mwingine yoyote hapa Duniani.

Jitambue na jithamini mkuu. Wanawake ni wengi sana na kila siku wanazaliwa watoto wazuri. Tafuta kitoto kimoja cha 2000 na endelea na maisha. Achana na hilo gumegume.

KUMBE DIWANI😀😀😀😀
 
Wew
Matusi Yale,dharau zile,kejeli zote,kunyimwa,ujenzi wa Siri,Mateso yale!

Nakumbuka alivyokua anachelewa Toka kwenye kiduka chake Hadi usiku wa saa tano,akifika anafua hadi saa saba ili nilale nisimsumbue ndio aje alale!kumbe ni diwani!
Nikimgusa anarusha miguu kama punda!kumbe ni diwani!!!

Eee diwani!!

Nilimchukua akiwa dhalili Leo ameota pembe kumbe ni maelekezo Toka Kwa diwani,kumbe ndio msimamizi na mshauri mkuu wa ujenzi na hatma ya utumishi wake!

Ndio maana alikua na hofu kuikabili labor wakati ule!alikuosa ujasiri kama Simba jike coz alijua amebeba dhambi kubwa moyoni!!!ndio maana ilitokea hitilafu ile!kumbe ni Mungu alikua analipa!!?

Kweli machozi ya mama ni sumu kumbe diwani ndio alikua mshauri wa ujinga wote ule!!

Na Sasa kahamishia nguvu na hisia kwa mtoto mdogo wa kiume Kama mbadala wangu Baada ya kuharibu!Je anajua kijana akishakuwa atajali hisia za mama!!?

Kumbe alikua ni Diwani!hakuna Siri ya watu wawili!!!

Namtakia yeye na diwani maisha mema!!!

DIWANI!
We Ishomile ulishindwa vipi kumtoa maji mkeo mpaka ukasaidiwe na diwani?
Mtu mpumbavu kama wewe, hata ulalamike vipi hatutakuonea huruma
 
Mkuu mseme hadi jina ashindwe uchaguzi asipite kwenye kamati ni sifa mbaya kiongozi kutoka na wake za watu zaid kuvunja ndoa ya raia wake. Unaongeza na umbea mwingi unawatagi viongozi wote wakubwa wa chama. Na wa serikali kwishahabar yake ubaya ubaya tu
 
Back
Top Bottom