RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
"Matusi Yale,dharau zile,kejeli zote,kunyimwa,ujenzi wa Siri,Mateso yale nakumbuka alivyokua anachelewa Toka kwenye kiduka chake Hadi usiku wa saa tano,akifika anafua hadi saa saba ili nilale nisimsumbue ndio aje alale!kumbe ni diwani!
Nikimgusa anarusha miguu kama punda!kumbe ni diwani!!!
Eee diwani!!
Nilimchukua akiwa dhalili Leo ameota pembe kumbe ni maelekezo Toka Kwa diwani,kumbe ndio msimamizi na mshauri mkuu wa ujenzi na hatma ya utumishi wake!
Ndio maana alikua na hofu kuikabili labor wakati ule!alikuosa ujasiri kama Simba jike coz alijua amebeba dhambi kubwa moyoni!!!ndio maana ilitokea hitilafu ile!kumbe ni Mungu alikua analipa!!?
Kweli machozi ya mama ni sumu kumbe diwani ndio alikua mshauri wa ujinga wote ule!!
Na Sasa kahamishia nguvu na hisia kwa mtoto mdogo wa kiume Kama mbadala wangu Baada ya kuharibu!Je anajua kijana akishakuwa atajali hisia za mama!!?
Kumbe alikua ni Diwani!hakuna Siri ya watu wawili!!!
Namtakia yeye na diwani maisha mema"
DIWANI
Story nzuuri ya kusisimua hii!!!nimeipenda sana!!
Kumbe ni diwani