britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kwani hujaona?Sijaambulia kitu kabisa
Kule hedhi ikamshuka ⌚💯 hizi dhambi zimezidiamewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Ooh kumbe,nimeziona hizo pics mbili at yupo Saudi Arabia wajameni…nimeelewa hivi
Makamu wa Rais wa Tanzania ambaye alilazimishwa kuachia nafasi kisa anawapa sapoti Upinzani , leo hii kuna picha imesambaa mtandaoni kwamba yuko dubai , Wakati si kweli ni hali serikali imeitengeneza tu kuleta imani feki kwa wananchi kuwa Makamu huyo hakuwa chini ya ulinzi, Ila picha ni ya zamani,
Wameanza kuzitoa ili kuaminisha kundi Ndani ya Chama tawala kwamba mtu ambaye walikuwa na matumaini naye Hana tatizo
Na pia Kikwete amaonekana kuwatisha kwamba mkicheza na Nguvu ya Makamu alotoka mtatawala kwa shida
Au Niko Op?
Picha feki ya Nchimbi.Codes ngumungumu,wanaume mnitafsirie tafadhali….madam nimeshindwa🧐
Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!Unaandika mafumbo hapa halafu baadae Mange akifunguka jambo unakuja kujifanya ulitangulia kusema! Kinachokufanya ushindwe kueleza kinagaubaga ni nini?
Ooh,mi nikajua ni zenyewe zile mkuu
Uhuru wa vyombo vya habari ni FMara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!
Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?
Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ?
Ndo Maana either nitatumia English au codes
Britanicca
Fake newsPicha ya Dubai ni feko
Yes ndo Maana tutakabana Hapa HapaUhuru wa habari ni F
Hakika mkuuYes ndo Maana tutakabana Hapa Hapa
Hivi, hizo sauti mbili kutoka kulia na kushoto zikitoka kwa wakati mmoja zinazalisha mlio gani? Inquisitive!