Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI

Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO

Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA

Mwili wa jana umevaa suti ya leo.

LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA

Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI

Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA


Britanicca
Nilichoambulia tu ni kuwa kwa fukuto linaloendea hapo mbogamboga limesababisha bimkora abubujikwe na kisusio japo ameshafika menopause.
 
Back
Top Bottom