Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

Mkuu, ni sababu zipi zimewafanya waamue kuichoma karatasi ambayo ni ya jana?

Pili, lengo ni kumuondoa main character kutoka kwenye game, sasa kwanini weye usimwage mboga tu?

Yaani ufanye mbwai na iwe mbwai na khasa Kama utamwaga mboga tarehe 29 October 2026.

Rejea post yako namba 35
KABISA KABISA KABISA...
Akikaa nayo yaweza kumpa KIUNGULIA!
 
Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!

Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?

Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock

Ndo Maana either nitatumia English au codes

Britanicca
Nakuelewa sana nyuzi zako maana zinanipa kutafakari kwa kina ama kutumia akili.
Ila sinajua na pia sitaki kujua wewe mleta mada upo ndani ya mfumo?
Kama ndio kwani upo kinyume nao?
AU upo nje ya mfumo?
Kama ndio wapi unapata za ndani kiasi kikubwa hivi?

Hata hivyo uishi miaka mingi, maana unatufungua macho sana.

Be care wewe na sisi na pia jf na mkuu wake.
 
MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI

Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO

Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA

Mwili wa jana umevaa suti ya leo.

LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA

Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI

Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA

Britanicca
Duuuh
 
Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!

Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?

Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock

Ndo Maana either nitatumia English au codes

Britanicca
Kwahyo wanetu wa teeth hawajui kimombo? Daaah ni fedheha…😂
 
Umechuja sana britanicca.Kuna kitu kimeingia vibaya sana kichwani mwako.
Umekuwa mtu wa kusaka sifa humu Jukwaani tena kwa majigambo?

Wewe kweli unao moyo wa kuipigania Tanzania, au unajipigania mwenyewe?

Umevurugika sana!

Kwa bahati mbaya huwa sina namna ya kupuliza ninapoona kuna upuuzi popote.
Mkuu uko na nongwa majnuni nongwa ya hivi huwa ni kama ulemavu nothing can save you ni janga kwa jamii
 
nimeelewa hivi

Makamu wa Rais wa Tanzania ambaye alilazimishwa kuachia nafasi kisa anawapa sapoti Upinzani , leo hii kuna picha imesambaa mtandaoni kwamba yuko dubai , Wakati si kweli ni hali serikali imeitengeneza tu kuleta imani feki kwa wananchi kuwa Makamu huyo hakuwa chini ya ulinzi, Ila picha ni ya zamani,

Wameanza kuzitoa ili kuaminisha kundi Ndani ya Chama tawala kwamba mtu ambaye walikuwa na matumaini naye Hana tatizo

Na pia Kikwete amaonekana kuwatisha kwamba mkicheza na Nguvu ya Makamu alotoka mtatawala kwa shida

Au Niko Op?
Kidgo
 
Ni kichekesho watu wanaopojaribu kutudanganya mtu aliyeonekana mara ya mwisho August 22 Tanzania watu wamemuulizia siku zote eti ghafla anaibukia nchi nyingine na mapicha juu kwani hawakutoa picha akiwa hapo Tanzania airport.
 
Mkuu uko na nongwa majnuni nongwa ya hivi huwa ni kama ulemavu nothing can save you ni janga kwa jamii
Hii "nongwa majinuni" inayokuendesha wewe ndiyo iliyokufanya wewe mwenyewe kuiona kwangu au siyo?
Hizi tamaduni za kinafiki ndizo mnazotaka sasa ziwe kawaida ya taifa hili?
 
MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI

Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO

Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA

Mwili wa jana umevaa suti ya leo.

LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA

Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI

Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA

Britanicca
Karatasi ya jana kuchanwa Leo ni code, fungua
 
C++
 
Back
Top Bottom