Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Na wao ni walewale.huwa kuna ukweli kwenye uongo.Labda sio wale nilioruka nao pamoja.Endelea kutapika,ninakagua nyongo na maji.Hata walioulizwa hawanijui haha walionewa
Na wao ni walewale.huwa kuna ukweli kwenye uongo.Labda sio wale nilioruka nao pamoja.Endelea kutapika,ninakagua nyongo na maji.Hata walioulizwa hawanijui haha walionewa
Ndiyo maana ulinzi shirikishi haukuwepo pale Igogwe.Nilihama mkuu
🤣🤣🤣mambo?Ndiyo maana ulinzi shirikishi haukuwepo pale Igogwe.
Siku wakikudaka maji utaita mmaYes ndo Maana tutakabana Hapa Hapa
Nani mimi ! Uzuri wangu uwa si associate na yeyote Ndani ya mtandao! Hukumbuki mwaka 2018 Magufuli alikamata mtu Tofauti Airport wakidhan ndo BritaniccaSiku wakikudaka maji utaita mma
wanasema eti umekamatwa airport, nimeomba aliyeleta ule uzi awajibishwe maana that was name calling which is a grave mistake on JF
Kwa Yesu!Upo tununu au tunoonoo?🤣🤣🤣mambo?
Jamaa kwa kujipaisha wewe utadhani senene anakwepa mtego.Nani mimi ! Uzuri wangu uwa si associate na yeyote Ndani ya mtandao! Hukumbuki mwaka 2018 Magufuli alikamata mtu Tofauti Airport wakidhan ndo Britanicca
Aisee,nipo njema njema tena mkuu,Namshukuru MunguKwa Yesu!Upo tununu au tunoonoo?
Basi,hiyo inatamkwa "holy Ghost"?...!You unaitika..."🔥 fwayaaaa"!Aisee,nipo njema njema tena mkuu,Namshukuru Mungu
Kuna muda mwingine yupo sawaJamaa huyu ni fix sana, asiwafikirishe bure. Ni kama haya mitume wa kisasa, anatoa unabii wa mchongo ili awe tayari kuufananisha na tukio lolote litakalotokea.
Kwamba walidhani huyo ndiye wewe ama...btwMara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!
Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?
Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock
Ndo Maana either nitatumia English au codes
Britanicca
🤓 naona upo na furaha sana,siri ya mtungi?Basi,hiyo inatamkwa "holy Ghost"?...!You itika..."🔥 fwayaaaa"!
Anafanya kitu inaitwa "probability event"! Hana jipya.Kuna muda mwingine yupo sawa
Mbw* ninyi msinichokoze! Nina uwezo wa kutoa Thread Moja hadi Samia akajiuzuru endeleeni
Nipo hapa Mama John nimepewa kinywaji kama uji,kimechemshwa tunakunywa kwa mirija kutoka kwenye mtungi hakyanane!🤓 naona upo na furaha sana,siri ya mtungi?
Ila hii legeza code kidogo.So wao ile nimegundua tukitumia codes wanakuwa safe zaidi
Bora ya kwanzaNdo Maana either nitatumia English au codes
🤣Jamani jamani,acha uongo mkuu🙌🏾Nipo hapa Mama John nimepewa kinywaji kama uji,kimechemshwa tunakunywa kwa mirija kutoka kwenye mtungi hakyanane!