google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
Pole sana kwa kuteswaNashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani?
Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu,
Hii ni ama walio na nafasi hizo walizipata kwa bahati au teknolojia yetu iko chini sana,
Unamkamata mtu umtese akupe habari za mwingine?
Aibu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app