Mifumo mingi ya Tanzania ni ya kizamani. Usalama kumtaka mtu mpaka watumie third party, why?

Mifumo mingi ya Tanzania ni ya kizamani. Usalama kumtaka mtu mpaka watumie third party, why?

Mbona Wamarekani pamoja na kuwa na technologia ya hali ya juu mbona magaidi waliwakamata na kuwaweka Guantanamo na kuwatesa kwa muda mrefu ili wajue magaidi wengine walipo?
[/QUO😀😁😀😁😀 marekani tena ,Sheria za marekani unazijua Mzee,kule unakamatwa familia yako inapewa taarifa huku kwako GENGE la polisi linabishana
 
Hata magaidi waliokamatwa na Kuwekwa Guantanamo waliteswa ili watoe siri za mtandao wao na wenzao sema wewe raia kujua haya itakuwa ngumu ,endelea na ualimu wako

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
eti Dada

sie walimu tumekukosea nini..

tambua hata Rais wetu naye ni Mwl tena wa Kemia...tunza heshima yako hata kama huna heshima

Umepitia kwenye mikono ya walimu...Jenga heshima kwao hata kama umefail tena maisha namna ulivyokuwa unafail shuleni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata magaidi waliokamatwa na Kuwekwa Guantanamo waliteswa ili watoe siri za mtandao wao na wenzao sema wewe raia kujua haya itakuwa ngumu ,endelea na ualimu wako

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Usidhani kila Alie humu unamzidi Kuna watu Wana PhD za criminology ujue wewe fala.....!!!
 
Nashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani?

Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu,

Hii ni ama walio na nafasi hizo walizipata kwa bahati au teknolojia yetu iko chini sana,

Unamkamata mtu umtese akupe habari za mwingine?

Aibu!!!
Mkuu unajidanganya, fanya ujinga mkubwa ndio utaona uimara ya mifumo hiyo, ukiona kama usemavyo ujue ni inshu ya kawaida sana kaka
 
Back
Top Bottom