Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

Kumbe ni Karatasi ya jana imechomwa leo

MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI

Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO

Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA

Mwili wa jana umevaa suti ya leo.

LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA

Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI

Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA


Britanicca
Acha mipasho, andika ufahamike
 
Mara nyingi nikili nimemuingiza kaka Mello kwenye matatizo kwa kuandika mambo direct imebidi hata nayojua engine nisiandike!

Unajua kupitia andiko fulan langu JF ilipigwa ban tukaanza kutumia VPN?

Mengine sitataja ni Nani kuna mtu kupitia mabandiko 3 yangu hapa ambayo yalikuwa hayana code wali mkomoa airport kipindi anarejea bongo kwamba ama Jumbe zifutwe au ataje Britanicca ni Nani ? Na passport wakaiblock

Ndo Maana either nitatumia English au codes


Britanicca
Endelea na code mkuu,angalau tuumize vichwa sababu habari unatupa bure na siku zote bure bure haina mwisho mzuri,wewe piga code ngumu ngumu tuumize vichwa ndio malipo hayo.
 
MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI

Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO

Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA

Mwili wa jana umevaa suti ya leo.

LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA

Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI

Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA


Britanicca
Nimeambulia mawili tu.
1. Picha ya Nchimbi Dubai ni feki
2. CCM kunafukuto(kuna tetesi Wasira anaachia ngazi)

Ni hayo tu!
 
Nchimbi hayupo dubai.kama ni picha soma quality ya picha ilivyotumika.

Kuna mambo mengine hata ukichunguza CCTV za hapo uwanja wa ndege ila basi wengine tubaki kimya.Ila bwana max na wewe wanataka kuua familia yako hawa UVCCM
View attachment 3699228
Picha ya Musalia .Mudavadi na Wetangula kule Israel Wala hata sio Dubai. Watanzania ni Rais kudanganywa
 
Back
Top Bottom