STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 837
- 672
Jioni hii nikiwa naelekea nyumbani nikapita mitaa ya jangwani ili nitokee kigogo kukwepa foleni nilichokiona kimeniharibia siku yangu kabisa.
Katika mlango mkuu wa kioo wa kuingilia jengo la makao makuu ya klabu hii niliyoipenda kumebandikwa picha tatu za magufuli za kampeni.
Leo hii nimethibitisha kabisa kuwa hiI klabu ni tawi la ccm, na nimeaziimia kuacha kuhudhuria mechi zao, na kuchana pea tano za jezi zao nilizonazo.
Uongozi wa yanga mmeshindwa kujua kuwa Washabiki webu wana mitazano tofauti ya kisiasa?