Kumbe ni kweli Yanga ni CCM, NImejitoa rasmi kuisapoti leo

Kumbe ni kweli Yanga ni CCM, NImejitoa rasmi kuisapoti leo

STREET SMART

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
837
Reaction score
672
Jioni hii nikiwa naelekea nyumbani nikapita mitaa ya jangwani ili nitokee kigogo kukwepa foleni nilichokiona kimeniharibia siku yangu kabisa.

Katika mlango mkuu wa kioo wa kuingilia jengo la makao makuu ya klabu hii niliyoipenda kumebandikwa picha tatu za magufuli za kampeni.

Leo hii nimethibitisha kabisa kuwa hiI klabu ni tawi la ccm, na nimeaziimia kuacha kuhudhuria mechi zao, na kuchana pea tano za jezi zao nilizonazo.

Uongozi wa yanga mmeshindwa kujua kuwa Washabiki webu wana mitazano tofauti ya kisiasa?
 
Me ndio maana nashabikia mtibwa sugar.yanga magumashi.ila sawa maana jengo lenyewe la karume.awawezi kujibu wakileta ujuaji vilago nje.
 
Wekeni mambo ya mpira na siasa mbali kabisa. Wana Yanga kama walivyo wana Simba wana vyama vyao tofauti lakini kwenye mpira ni wamoja kwa timu zao.

Kuna watu tupo pamoja kwenye Jukwaa la Michezo lakini tukiingia Jukwaa la siasa ni mbingu na nchi. Hiyo ndiyo chumvi ya maisha.
 
Wekeni mambo ya mpira na siasa mbali kabisa. Wana Yanga kama walivyo wana Simba wana vyama vyao tofauti lakini kwenye mpira ni wamoja kwa timu zao.
Kuna watu tupo pamoja kwenye Jukwaa la michezo lakini tukiingia Jukwaa la siasa ni mbingu na nchi.
Hiyo ndiyo chumvi ya maisha.

Nafikiri mtoa mada amesema kwamba ameona picha zimebandikwa kwenye jengo la klabu ya Yanga sio kwenye nyumba ya mshabiki wa Yanga.

Yanga haipaswi kuwa na ushabiki wa kisiasa, ila washabiki, wapenzi na wanachama kila mmoja kwa utashi wake anaweza kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa.

Lakini inawezekana hizo picha hazina uhusiano wowote na Yanga, zimebandikwa kama zinavyoweza kubandikwa sehemu nyingine yeyote.
 
Uliingia choo cha kike, pole kwa kutojua toka zamani. Matongotongo yanakuhusu!
 
Kabandike yako uone kama wataitoa. Usilalamike kabla ya kujaribu
 
attachment.php

 

Attachments

  • 1443817921200.jpg
    1443817921200.jpg
    60.6 KB · Views: 493
.. ... ......
 

Attachments

  • 1443818278974.jpg
    1443818278974.jpg
    9.9 KB · Views: 376
Niliona picha ya lowasa kwenye ukuta wa uwanja wa ndege sa sijui na mimi niamini viongozi na wafanyakazi wote wa airport ni chadema
 
Hii NCHI inaendeshwa na mfumo WA chama kimoja tu ccm hivyo vingine ni kiini macho tu .najua mtapinga lkn mtajua tu Tareh ikifika.
 
Kwa nini picha ibandikwe kwenye ofisi za club? Tena ndani ya mlango ili watu wasibandue?
 
Kwa nini picha ibandikwe kwenye ofisi za club? Tena ndani ya mlango ili watu wasibandue?

Kwani ww unashabikia timu ikiwa uwanjani au inapokuwa mlangoni kwao?!...kama unaona vp si uhamie majimaji we vp?...hiyo picha ya mlangoni na Hiyo picha ya mgosi ipi inaonekana na wengi...hebu bandua hiyo picha ya mgosi hapo juu ka utaweza
 
Niliona picha ya lowasa kwenye ukuta wa uwanja wa ndege sa sijui na mimi niamini viongozi na wafanyakazi wote wa airport ni chadema

hata mimi nashangaa mbona picha zimejaa kila kona? Yeye ameiona hiyo tu.
 
Afu watu wengine bana... sasa kama umeziona ndo umeambiwa zimebandikwa na Viongozi wa Yanga? kwanza watu kama nyie ndo hamuitakii timu yetu mafanikio....

Nenda tu hatukutaki kwenye timu yetu!
 
hama kimya kimya mkuu sio låzimå ututångåzie humu sio kilå mtu ånåmtizåmo kåmå wåko nå sio låzimå tukuige ww
 
Back
Top Bottom