Kumbe ni kweli Yanga ni CCM, NImejitoa rasmi kuisapoti leo


Timu ya Mkwere na Mwanae Ridhimoko kama hamuamini kamuulize Kifukwe.
 
Watu wengine bwana!

Kuhama uhame wewe kwanin umalize MB zako kututangazia sisi?? Safar njema huko uendako, na usirudi tena.

Acha kutafuta umaarufu kupitia timu ya wananchi.
 
Mkwere na Mwanaye hawajazaliwa, Yanga ipo na itadumu milele hadi siku ya kiama.

Hadudanganyiki; Yanga Mbele Daima Nyuma Mikia.

Ingekuwa hivyo basi Ridhimoko asinge iamulia Yanga kiongozi.
Hivi kifukwe aliishia wapi kwenye uongozi?
 
Ingekuwa hivyo basi Ridhimoko asinge iamulia Yanga kiongozi.
Hivi kifukwe aliishia wapi kwenye uongozi?

Wewe mikia mambo ya Yanga waachie wana Yanga wenyewe, kauguze majeraha ya kipigo cha Busungu na Tambwe. Kama unachukia CCM andaa 'kichinjio' chako na uwahi foleni Oktoba 25. Yanga itabaki kuwa Yanga daima.
 
Wewe mikia mambo ya Yanga waachie wana Yanga wenyewe, kauguze majeraha ya kipigo cha Busungu na Tambwe. Kama unachukia CCM andaa 'kichinjio' chako na uwahi foleni Oktoba 25. Yanga itabaki kuwa Yanga daima.

Ila mujue kuwa mnapoteza washabiki vile vile msitegemee kupata fedha zao
 
Ila mujue kuwa mnapoteza washabiki vile vile msitegemee kupata fedha zao

Hakuna shabiki wa ukweli anayehama timu, ukiona hivyo wewe ni shabiki uchwara. Kuhama timu ni sawa na kukataa makalio yako mwenyewe kwa madai kuwa katikati yake kuna tundu chafu linalotoa kinyesi! Fahamu kuwa kwa kila shabiki mmoja uchwara anayeihama Yanga kuna mashabiki 1000 wa ukweli wanazaliwa siku hiyo hiyo. Aliondoka Steve Yanga haikutetereka sembuse wewe georgemwaipungu! Nenda mikia nenda, nenda usiogope.
 
Last edited by a moderator:

Sijasema mimi nashabikia Yanga wala Simba mimi ni Mbeya City ila nawahasa nyinyi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu ni alikuwa kiongozi wa timu gani vile?
 

Attachments

  • 1443981250632.jpg
    14.3 KB · Views: 98
Yani mimi niache kushabikia timu yangu kwa sababu ya mambo ya ya vyama?!!!!! Wakati juzi kati mchepuko niliyekuwa namuhangaikia kwa mudamrefu,usiku silali namuwaza yeye alafu akaniahidi kunipa papuchi mida ya mechi ya yanga alafu nikamwambia leo haiwezekani tufanye wiki ijayo....we muanzisha mada sio shabiki wa mpira ndo mana hatujawahi kukuona jukwaa hili la sports
 
Yanga badilisheni rangi ya jezi zenu na rangi ya jengo lenu. mnatuboa sana mashabiki wenu tunapoona mirangi ya kijani na njano. Tafuteni rangi zinginezo neutral kabisa mbali na rangi za chama chochote cha siasa.
 
Yanga badilisheni rangi ya jezi zenu na rangi ya jengo lenu. mnatuboa sana mashabiki wenu tunapoona mirangi ya kijani na njano. Tafuteni rangi zinginezo neutral kabisa mbali na rangi za chama chochote cha siasa.

Kuna siku mtataka kubadilisha hata rangi za bendera ya Taifa kwa kisingizio cha mabadiliko, mshindwe kabisa. Kama unaboreka kaa mbali na Yanga!
 
Yanga badilisheni rangi ya jezi zenu na rangi ya jengo lenu. mnatuboa sana mashabiki wenu tunapoona mirangi ya kijani na njano. Tafuteni rangi zinginezo neutral kabisa mbali na rangi za chama chochote cha siasa.

Yanga ndo iliyoanza kutumia hizo rangi ,so,waambie ccm wabadilishe
 
Ukawa bwana mmeingilia hadi mpira sasa!! Hebu tumieni akili hata kidogo basi!!
 

Watu wanashindwa kutofautisha mambo!

Wengine family zimeparaganyika kiaa siasa,wengine wameacha kuwashabikia wasanii Fulani kisa siasa,na Mpira vivyo hivyo!!, but lazima tuelewe kuwa siasa siyo ugomvi na pia watu tusiwe addictive sana no lazima tuwe na self control katika kila jambo!

Wanasema kadiri unavyokipenda kitu Fulani ndivyo u avyopunguza uwezo Wa kufikiria na kufanys maamuzi yenye hekima kuhudu hicho kitu.

So in vizuri tukawa na kiasi in each and everything because other things are so personal that they shouldn't make us engage in unnecessary conflicts!!! Kwenye business kuna kanuni Mona inaitwa "business entity concept" which means that the affairs of a business are to be treated as being quite separate from the non-business activities of its owner(s).

Hence lazima tuelewe haya mambo na tunapokuwa katika mazungumzo au majadiliano we should take into regard issues of this kind!!!
 
Kwani ww unashabikia timu ikiwa uwanjani au inapokuwa mlangoni kwao?!...kama unaona vp si uhamie majimaji we vp?...hiyo picha ya mlangoni na Hiyo picha ya mgosi ipi inaonekana na wengi...hebu bandua hiyo picha ya mgosi hapo juu ka utaweza


Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga imekuwa ikijiambatanisha au kuambatanishwa na Uccm...Uccm japo mashabaiki najua wana mitazamo tofauti ya kisiasa. Hata Nadir Cannavaro alipiga picha akiwa kwenye jezi yenye logo ya Yanga aki support Magufuli hadi wadau walipopiga kelele ndio amebaki na jezi zenye rangi ya kijani na njano lkn hazina logo. Hapa tuanchoweza kusema viongozi wa klabu hii na nyinginezo hawajafanya juhudi za kutenganisha na itikadi zao za kisiasa na mambo ya uendeshaji wa mpira.

Mimi bado naamini tuna safari ndefu sana ya kutenganisha nchi, taasisi za umma, taasisi za kiraia na mambo ya siasa.
Najiuliza kwa mfano tukikuta kwenye ofisi ya TFF zimewekwa picha za Lowassa halafu tukienda Msimbazi tukute kuna picha za Anna Mghwira ofisi nzima; sijui tutakuwa tunatoa ujumbe gani.
 
Yanga sio ccm,isipo kuwa nyerere alichukua rangi zilizo katika bendera za yanga akaziweka kwenye bendera ya ccm, sababu ilikuwa ni kutaka ccm iungwe mkono zaidi,tukumbuke kirefu cha yanga ni young african,vijana wa kiafrika
 
Tuelewe pia kuwa,ushabiki,uana chama,hautokani na rangi zinazo tumika,isipokuwa unatokana na imani,sera,mifumo,tanzania bado tupo nyuma sana tunajenga imani zetu kwenye rangi,ambayo haina maana yoyote kama ni utambulisho tuna nembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…