georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Nafikiri mtoa mada amesema kwamba ameona picha zimebandikwa kwenye jengo la klabu ya Yanga sio kwenye nyumba ya mshabiki wa Yanga. Yanga haipaswi kuwa na ushabiki wa kisiasa, ila washabiki, wapenzi na wanachama kila mmoja kwa utashi wake anaweza kuwa mshabiki wa chama chochote cha siasa. Lakini inawezekana hizo picha hazina uhusiano wowote na Yanga, zimebandikwa kama zinavyoweza kubandikwa sehemu nyingine yeyote.
Timu ya Mkwere na Mwanae Ridhimoko kama hamuamini kamuulize Kifukwe.