Kumbe ni mchawi amechukua nguvu zangu za kiume kuendeshea ungo usiku...

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Kuna mwamba hapa amekamatwa, ni mchawi

Anasema kuwa yeye hutumia mguu WA kiume kuendeshea ndege yake ya usiku ya ungo kwenda kuwanga

Dah ila wanaume jamaan poleni Sana

Mnalia Lia hamna nguvu za kiume kumbe mchawi anazitumia kuendeshea ndege yake usiku kama usukani, kusafiri kwenda ulaya

So nguvu za kiume haziishi kwasababu mnashindia chips au mahindi ya kuchoma na ndimu, kumbe Wana mnachaupwaaaaa vibaya mno

Poleni Sana ila Muombe Sana Mungu, shetani mshenzi kweli kweli
 
Hata kwetu bibi JIRANI yetu,naye humfanyia hivyo mtoto wake wa kiume
Siku hiyo mkazamwana wake YAANI MKE wa huyu mtoto wake wa kiume,aliamua kumjazia watu mkwe wake akitaka uume wa mume wake ufanye kazi maana wewe unautumia usiku kwenye mambo yako,mume wangu hawezi kuniingilia
 
Back
Top Bottom