Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

First to reply:mama yake kasema anamtoto mmoja tu mwingine alifariki akiwa mdogo baada ya kuugua.
Lazima muicheze hii ngoma ,mlizidi sana na kujifanya Miungu watu.
 
Watu walosoma nae kabisa wanadai sio jina lake. Mwenyewe sikuwa naamini ila sasa naamini.

Pia ni kosa kusema ni uongo wakati wewe mwenyewe hujafanya uchunguzi. Kwa taaluma yako ni rahisi kufika katika hayo maeneo yote kwani umekuwa ukijinadi kuwa ni mwandishi wa habari za kiuchunguzi.

Mwandishi tena binafsi wa habari za kiuchunguzi unashindwaje kufuatilia suala kama hili?

Naanza kuamini kuwa watanzania tunateteana kwa makabila yetu, vyama vyetu na hata dini zetu.
Mkuu kwenye uzi gani kuna huo ushaidi wa watu aliosoma nao..??..
 
Wanabodi.
Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa haweza kugeuka ni ukweli.

Kiukweli uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi kugeuka ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, just keep the truth and the truth will remain the truth.

Sasa Tangu kuibuliwa kwa tuhuma hizi za Makonda kughushi vyeti na kutumia majina bandia, nimekuja kugundua kuwa kumbe tuhuma hizi na shutuma zote ni uongo mtupu, ni za uzushi tuu kutaka kumfanyia fitna kwa kumpiga majungu, zinazazushwa na watu wenye wivu na kumuonea kijicho dhidi ya mafanikio yake lima Isha na jinsi alivyoshinda vita hii ya madawa ya kulevya kwa muda mfupi.

Wito wangu kwa Makonda ni kuendelea kutulia hivyo hivyo, kwa kunyamaza, usijibu kitu, just keep calm, endelea kuchapa kazi kwa sababu hawa watu watakusema mchana na usiku watalala, kesho yake wateandelea kusema, watasema wee, watasema wee mwisho watachoka.

Kanuni ya tuhuma zozote kwa kawaida ni "he who alleges must prove" waache waendelee kujifurahisha kwa kujaza severs za JF.

Yote yanayosemwa kuhusu Makonda Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Tuwapuuze! .

Na huu ni wito wangu kwa wazushi hawa, msiendelee kutujazia severs zetu. Kama tuhuma zenu zinaukweli wowote, kwanini mpaka leo mmeshindwa kuzithibitisha?!.

Ningeamua kufanya investigative piece ya hii story lakini...
1. Hakuna hata mtu mmoja aliyekwenda kijiji cha Kolomije kuuliza majina ya wazazi wa Paul Cristian Makonda kama hayo yao na kuuliza jina la mtoto wao wa pekee kama kweli ni Paul Christian Makonda?. Pia watawauliza wazazi wao Paul alizaliwa lini alipewa majina gani, alikulia wapi, alibatizwa wapi, alibatizwa wapi kws majina gani, aliandikishwa darasa la lini, shule gani kwa majina gani, katika simulizi hiyo ya wazazi wake, kusipoibuka majina ya Daudi Albert Bashite, wanaweza kuwauliza wazazi wake kama wanajua lolote kuhusiana na majina ya Daudi Albert Bashite.

Baada ya kupata taarifa hizo, hizo zinakuwa ni primary sources, ukitoka hapo unazitafutia collaborative sources za majirani hapo kijijini ku verfy taarifa za wazazi wake.

2. Hatua ya pili ni kuripoti shule ya Kolomije si bado ipo, wameshindwa nini kwenda kuwauliza jina la huyo mwanafunzi Paul Chirtian Makonda waliotajiwa na wazazi wake kisha wamuulizie na Daudi Albert Bashite aliandikishwa lini alimaliza lini na kwa majina gani na kama alifaulu au alifeli.

3. Baada ya hapo ni kwenda Shule ya Sekondari ya Pamba na kuulizia mwafunzi aliyefeli shule ya msingi, amewezaje kuingia Sekondari ya serekali. Kisha waulizie kuhusu mwafunzi Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite walijiunga lini kwa majina yapi, wakamaliza lini na matokeo yao ni yapi.

4. Unakwenda chuo cha uvuvi Nyegezi unapata details na documentary evidence ya jina la Paul Christian Makonda alilojisajili na vyeti alivyo wasilisha wakati alijiunga na vyeti alivyo hitimu. Hapo Nyegezi ukikuta majina tofauti ya shule na vyeti, unafanya back to back ya shule ulizokuta na kuzipitia ku verfy Paul Christian Makonda alisoma hapo.
5. Unaripoti Mbegani unapata details za Paul Christian Makonda na documentary evidence ya majina aliyotumia kujiunga na vyeti aliyotumia na vyeti vya kuhitimu.

6. Unaripoti chuo cha Ushirika you do the same.
Mkumbuke hizo info zote ni public info ambazo ziko freely accessible. Kama Kuna any discrepancies zozote za majina kwenye hivyo vyeti kati ya Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite then una launch secondary investigation kwa kuandika barua kutumia kipengele cha sheria ya "the right to information act ku access protected info kutaka

7.Vizazi na vifo alipozaliwa aliandikishwaje? .

8. Idara ya Uhamiaji ina file la DN Number alipoomba passport aliwasilisha nyaraka gani na za wazazi wake zikiwemo affidavits zao.

9. Unakwenda mamlaka yake ya ajira kuangalia aliwasilisha vyeti gani

10. Unamkabili Paul Makonda mwenyewe na vielelezo vyote kuthibitisha yeye ni Daudi Albert Bashite bila kusema kuwa ni mwizi wa jina wala amefanya forgery or fraud. Unamtupia mezani kwake na kumpa kamba ama ajinyonge yeye mwenyewe ama ajinasue.

Hata Makonda akigoma kutoa ushirikiano, you have facts to go on with the story with or without Makonda's imput. Kazi ya mwandishi ni kuwalisha facts only hivyo unaibuka na big headline "Uthibitisho Paul Chritian Makonda ndiye Daudi Albert Bashite " huku umetutundikia hizo evidence.

Kinyume cha hapo sisi akina Tomaso wote tunaendelea kuamini kuwa kumbe tuhuma zote hizi dhidi ya Makonda ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!.

Uthibitisho wa uzushi ni huu ukweli bayana uliopo hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa huu ndio ukweli bayana na halisi uliopo. Kati ya wazushi hawa na rais wetu aliyemwamini na kumteua nani mkweli? . Mkweli ni Rais, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ndio maana katulia tuu nyie endeleeni kupiga kelele.

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Paskali unaanza kujidhalilisha Kaka Mkubwa heshima yako yote inaanza kupotea taratibu
 
ZIPO TETESI KUWA CV INAYO SAMBAZWA MITATANDAONI YA MHESHIMIWA RC, NI YAKUPOTOSHA KABISA. LENGO NI KUMVUNJA NGUVU MPAMBANAJI WETU: HIVI MTAJISIKIAJE TETESI HIZI ZIKITHIBITIKA KUWA BASHITE NI PACHA WA RC?
kumbe we ndio mamaake
 
Labda asingetaja wauza unga akataja group lenye dhambi tofauti isingefika hapa,hii yote ni dalili kwamba vita ya madawa ya kulevya Tanzania ni ngumu,hivi nani mkamilifu nchi hii ilivyokuwa imeoza?asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe,,maneno ya Yesu,vyeti vilikuwa vinauzwa hadharani hasa pale shule ya uhuru railway quoters,kila mtu anajua hilo ni nani hajawa victim wa vyeti bandia nchi hii? Nimefanya kazi na watu wengi sana wanatumia vyeti sio vyao,tuache unafiki hili sio kosa la Makonda ni system iliruhusu upuuzi huu kuwepo,kwa nini tumlaumu Makonda kiasi yeye ni binadamu mwenye dhambi kama wote mlivyo na dhambi,yote haya ni kwa sababu ya ujasiri wake wa kutaja wahusika washutumiwa??hivi nchi yetu imeongozwa na watu wangapi wenye vyeti vya kutisha na maisha ni yaleyale afadhali ya jana??jamani watanzania tuna matatizo mengi sana na uchumi umeharibika sana na hali za maisha zimekuwa mbaya tusijifanye hatuoni mambo muhimu,mngekuwa na nia nzuri mngejadili jinsi ya kuiondoa ccm iliyotufikisha hapa kumjadili MTU is too late my people,
 
ZIPO TETESI KUWA CV INAYO SAMBAZWA MITATANDAONI YA MHESHIMIWA RC, NI YAKUPOTOSHA KABISA. LENGO NI KUMVUNJA NGUVU MPAMBANAJI WETU: HIVI MTAJISIKIAJE TETESI HIZI ZIKITHIBITIKA KUWA BASHITE NI PACHA WA RC?
Hata kama ni pacha wake,tayari ni mtu mwingine na haruhusiwi kutumia vyeti vyake.acha ujinga wewe.
 
Maudhui ya hii habari sio mpya, ni kama ya hao wengine unaosema wanajaza server.

Siku hizi umekuwa mshauri wa DAUD, Kuna kipindi ulimshauri vizuri kuwa aonyeshe vyeti vyake ili kujiweka clean, lakini leo umegeuka tena, Sasa BASHITE ashike lipi? Maana kila siku unakuja kivingine.

Kusoma raha sana, Mimi ukiniulizia vyeti vyangu hata nikiwa usingizini nakupatia.

Wala singehitaji akina PASKAL na LEMUTUZ waje kunitetea.
Yaani mimi mpaka daftari la darasa la kwanza mpaka la saba yapo, nilipoteza madaftari ya O'level tu, ya advance yapo mpaka ya chuo kikuu, nikiamshwa usiku wa manane natoa vyeti na mitihani ya ndani ya shule na daftari za kuanzia primaly mpaka madesa ya chuo kikuu, teh teh teh teh. Kweli kusoma raha.
 
Makonda au Daudi Bashite amezaliwa peke yake 1982.

Mwaka 1987 alizaa mtoto wa kike aliyeishi kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa akafariki.

Daudi kwa mama kwa mama yake yupo peke yake.
 
First to reply:mama yake kasema anamtoto mmoja tu mwingine alifariki akiwa mdogo baada ya kuugua.
Lazima muicheze hii ngoma ,mlizidi sana na kujifanya Miungu watu.
TETESI ZINASEMA ALIETOA MAJIBU YALE NI MAMA MDOGO SASA SUBIRI MAMA MZAZI ASEME KAFANA SANA NA WANAWE HAWA MAPACHA:
 
Mamaphilipo,

Tafadhali sana popote pale ulipo njoo ututetee dhidi ya Pascal Mayalla!!! Nakuomba wewe kwa sababu, baada ya kufanya utafiti wa haraka haraka nimegundua wewe ni mtu wa mwanzo au miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kufichua jina la Daudi Bashite kupitia post yako ya December 2015 ambayo ni hii hapa:Nyingine ni hii hapa:
Ukaelezea mshangao wako ambao uliipata pale uliposikia Makonda amekula uteuzi:

Sie wengine tunasingiziwa kwamba eti tuna wivu, chuki na roho ya ndoano!! Nimepitia profile yako Mamaphilipo! Wala hulekei kwamba una elements za ushabiki wa kisiasa au chuki yoyote dhidi ya Makonda!!

Pia nimepitia profile yako na una muda mrefu sana hujaingia JF at least kwa kutumia hiyo ID!!! Hebu Mungu akulete hapa JF... ni kweli tuna chuki?! Ina maana Mamaphilipo na wewe una chuki?! Kama nawe ni mwingi wa chuki; unataka kumfundisha nini Philipo?!!!!
Mkuu hii ni kwenye uzi gani?
 
Wanabodi.
Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa haweza kugeuka ni ukweli.

Kiukweli uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi kugeuka ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, just keep the truth and the truth will remain the truth.

Sasa Tangu kuibuliwa kwa tuhuma hizi za Makonda kughushi vyeti na kutumia majina bandia, nimekuja kugundua kuwa kumbe tuhuma hizi na shutuma zote ni uongo mtupu, ni za uzushi tuu kutaka kumfanyia fitna kwa kumpiga majungu, zinazazushwa na watu wenye wivu na kumuonea kijicho dhidi ya mafanikio yake lima Isha na jinsi alivyoshinda vita hii ya madawa ya kulevya kwa muda mfupi.

Wito wangu kwa Makonda ni kuendelea kutulia hivyo hivyo, kwa kunyamaza, usijibu kitu, just keep calm, endelea kuchapa kazi kwa sababu hawa watu watakusema mchana na usiku watalala, kesho yake wateandelea kusema, watasema wee, watasema wee mwisho watachoka.

Kanuni ya tuhuma zozote kwa kawaida ni "he who alleges must prove" waache waendelee kujifurahisha kwa kujaza severs za JF.

Yote yanayosemwa kuhusu Makonda Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Tuwapuuze! .

Na huu ni wito wangu kwa wazushi hawa, msiendelee kutujazia severs zetu. Kama tuhuma zenu zinaukweli wowote, kwanini mpaka leo mmeshindwa kuzithibitisha?!.

Ningeamua kufanya investigative piece ya hii story lakini...
1. Hakuna hata mtu mmoja aliyekwenda kijiji cha Kolomije kuuliza majina ya wazazi wa Paul Cristian Makonda kama hayo yao na kuuliza jina la mtoto wao wa pekee kama kweli ni Paul Christian Makonda?. Pia watawauliza wazazi wao Paul alizaliwa lini alipewa majina gani, alikulia wapi, alibatizwa wapi, alibatizwa wapi kws majina gani, aliandikishwa darasa la lini, shule gani kwa majina gani, katika simulizi hiyo ya wazazi wake, kusipoibuka majina ya Daudi Albert Bashite, wanaweza kuwauliza wazazi wake kama wanajua lolote kuhusiana na majina ya Daudi Albert Bashite.

Baada ya kupata taarifa hizo, hizo zinakuwa ni primary sources, ukitoka hapo unazitafutia collaborative sources za majirani hapo kijijini ku verfy taarifa za wazazi wake.

2. Hatua ya pili ni kuripoti shule ya Kolomije si bado ipo, wameshindwa nini kwenda kuwauliza jina la huyo mwanafunzi Paul Chirtian Makonda waliotajiwa na wazazi wake kisha wamuulizie na Daudi Albert Bashite aliandikishwa lini alimaliza lini na kwa majina gani na kama alifaulu au alifeli.

3. Baada ya hapo ni kwenda Shule ya Sekondari ya Pamba na kuulizia mwafunzi aliyefeli shule ya msingi, amewezaje kuingia Sekondari ya serekali. Kisha waulizie kuhusu mwafunzi Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite walijiunga lini kwa majina yapi, wakamaliza lini na matokeo yao ni yapi.

4. Unakwenda chuo cha uvuvi Nyegezi unapata details na documentary evidence ya jina la Paul Christian Makonda alilojisajili na vyeti alivyo wasilisha wakati alijiunga na vyeti alivyo hitimu. Hapo Nyegezi ukikuta majina tofauti ya shule na vyeti, unafanya back to back ya shule ulizokuta na kuzipitia ku verfy Paul Christian Makonda alisoma hapo.
5. Unaripoti Mbegani unapata details za Paul Christian Makonda na documentary evidence ya majina aliyotumia kujiunga na vyeti aliyotumia na vyeti vya kuhitimu.

6. Unaripoti chuo cha Ushirika you do the same.
Mkumbuke hizo info zote ni public info ambazo ziko freely accessible. Kama Kuna any discrepancies zozote za majina kwenye hivyo vyeti kati ya Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite then una launch secondary investigation kwa kuandika barua kutumia kipengele cha sheria ya "the right to information act ku access protected info kutaka

7.Vizazi na vifo alipozaliwa aliandikishwaje? .

8. Idara ya Uhamiaji ina file la DN Number alipoomba passport aliwasilisha nyaraka gani na za wazazi wake zikiwemo affidavits zao.

9. Unakwenda mamlaka yake ya ajira kuangalia aliwasilisha vyeti gani

10. Unamkabili Paul Makonda mwenyewe na vielelezo vyote kuthibitisha yeye ni Daudi Albert Bashite bila kusema kuwa ni mwizi wa jina wala amefanya forgery or fraud. Unamtupia mezani kwake na kumpa kamba ama ajinyonge yeye mwenyewe ama ajinasue.

Hata Makonda akigoma kutoa ushirikiano, you have facts to go on with the story with or without Makonda's imput. Kazi ya mwandishi ni kuwalisha facts only hivyo unaibuka na big headline "Uthibitisho Paul Chritian Makonda ndiye Daudi Albert Bashite " huku umetutundikia hizo evidence.

Kinyume cha hapo sisi akina Tomaso wote tunaendelea kuamini kuwa kumbe tuhuma zote hizi dhidi ya Makonda ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!.

Uthibitisho wa uzushi ni huu ukweli bayana uliopo hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa huu ndio ukweli bayana na halisi uliopo. Kati ya wazushi hawa na rais wetu aliyemwamini na kumteua nani mkweli? . Mkweli ni Rais, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ndio maana katulia tuu nyie endeleeni kupiga kelele.

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Njaa kitu mbaya uko tayari kujiondoa ufahamu
 
Bado hatuna ushahidi kama kweli Bashite ndiye Paul Makonda
Hilo ndilo tatizo mkuu
Mkuu hauoni hata mke wake anamjua kwa hilo jina au hata kuona huoni..???
FB_IMG_1488355276106.jpg
 
Bora Ile ajali ingekuchukua jumla kabisa
 
Paschal nisaidie nauli ya Mwanza - Kolomije, nataka kwenda kuhani msimba kwa mzee Gwajima.
 
Back
Top Bottom