Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Mr. Sugu na Mboe nao waonyeshe vyeti vyao vya Form 4 kabla ya Mhe. Mkuu Dkt. Daudi.
 
kaka katika hili umekuwa na rangi nyingi mno!
 
Poleni sana kwa kutumia nguvu kubwa kuifanya njano kua nyekundu. Kwanza ulishasema kua haufanyi habari za uchunguzi kwa sasa bali unafanya za maendelea. So ktk hili kwakua hujalifanyia uchunguzi u have no right to speak. Its a well known saying. No research no right to speak.

Hata hivyo wapo waandishi wenzio walioamua kujikita kuganyia uchunguzi sakata hili na majibu ya uchungu pasi na kuacha shaka ni kwamba mkuu wa mkoa ni DAUD ALBERT BASHITE. hilo la kwanza.

Lakini pia niliwahi kukusikia siku moja unasema kua wewe ni lawyer pia. Sasa sheria ina sema he who asserts must prove hapa ndipo uliposimamia kwamba watu wanatuhumu tu hawaja prove na kwakua wao ndio wana tuhumu lazma waprove km sheria inavyotaka. Katika hili kuna mwanya ktk sheria in everu rule there is exception. Na kuna baadhi ya badai mtuhumiwa ndio anatakiwa athibitishe badala ya anaetuhumu hii ni exception. Mfano niki tukikwambia wewe sio mtanzania it is for you to prove that u are tanzanian. Hivyo hata kwa Makonda alitakiwa hata km kesi haijaenda mahakamani alitakiwa km mtimiahi wa umma ambae lazma ahakikishe kua wananchi wana imani nae maana kuto kua na sifa tu ya kuaminiwa na wananchi basi inatosha kua hufai kuwaongoza. Ilimpasa aweke vyeti hadharani kuthibitisha kua wanaomtuhumu ni wazushi.

Kuliko kinachofanyika kutumia nguvu kubwa kuwaziba watu midomo hili halikubaliki ktk utawala wa sheria.

Umetoa mifano ya watu waliotumbuliwa fasta na.mkuu hivyo ukaona kua hata huyu angetumbuliwa km ni kweli kwahiyo kwa upeo wako ukaona kwakua mamlaka zimekaa kimya basi si kweli this is stupid. Am sorry to say.
Nini maana ya double standard kwakua wewe ni msomi na hii ndio inayolalamikiwa. We dont hate Makonda we hate the authority for double standard, why?, anacholalamikiwa makonda ndicho kilichowaondoa watanzania wengine maofisini.

Halafu ulisema kua kati ya Rais aliemuamini Makonda na watu wanaomtuhumu tuna muamini nani?,,ukiwa na maana tumuamini Rais. This is stupid again. Am sorry bro. Its stupid.

Una fahamu kwa nn nasema hivyo. "One person's poison its another person's food" Una ifahamu image ya IDD AMINI DADA KWA WATANZANIA? The same person lived like heaven in SAUD.
OSAMA ni terrorist kwa marekan na wengine, he is a hero to others.

Wazee waliopigana vita ya Mau Mau waliitwa terrorists na wakoloni lakin the kenyans call them nationalists.

Hapa tuwaamani kina nani waliowaita wazee wapigania uhuru kua ni terrorists au wakenya kuwaita mashujaa nationalists?

Kikingine kaka usijitie upofu wakati unaona. Ni dhahiri shahiri kua mamlaka zote zinaogopa kumchulia hati mkuu wa mkoa sababu unaijua wewe.

Waliothubutu japo kusimia ukwwli tena si ktk ishu ya vyeti jambo lingine kabisa la uvunjwaji wa sheria wazi wazi wametenguliwa uwaziri na bastola wametolewa.

USHAURI. SEME UKWELI JAPO KUA IKWELI MCHUNGU.
 
Mayalla tunataka kumfahamu mumeo Ni nani ????? Acha unafiki hapa.
 
Alie waambia mkuu wa mkoa lizima awe na cheti nani? Kwan amekuwa mwalimu au Dr? Nenden mipakani mkakague wakuu wa mikoa wote muone kama wana vyeti, ndiyo mtagundua kuwa makonda hakuenda kwa raisi na vyeti kuomba kazi aliteuliwa kutokana na utendaji kazi wake
 
Kwa jinsi anavyojibu maswali ni Uthibitisho yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu ni kweli.
Paskali
 
HAKI NI KAMA SIMBA HUNGURUMA, UPARUA NA KUUWA....MSICHEZE NA HAKI!
Big up Mh. Paul Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…