Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,396
utendaji gani? sifa ni KKKAlie waambia mkuu wa mkoa lizima awe na cheti nani? Kwan amekuwa mwalimu au Dr? Nenden mipakani mkakague wakuu wa mikoa wote muone kama wana vyeti, ndiyo mtagundua kuwa makonda hakuenda kwa raisi na vyeti kuomba kazi aliteuliwa kutokana na utendaji kazi wake