Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Kumsafisha Bashite kazi ngumu sana; inabidi ujitoe ufahamu kama Pasco alivyofanya!
 
Sisi wananchi tunahitaji kusikia habari za utendajikazi wa RC wetu.kwaiyo Mods Endeleeni kuwa na heshma kwa sisi wananchi. Tungepata wapi habari za punguzo la biri za maji.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, hivyo Paul Christian Makonda anaendelea kuwa ni Paul Christian Makonda na Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mpaka itakapo thibitishwa, without any reasonable doubt kuwa Paul Christian ni mtu mwingine, na Daudi Albert Bashite ni kweli alifeli na kupata sifuri, akaiba jina na vyeti vya Paul Christian na kuvitumia kujiendeleza as if yeye ni Paul Christian hivyo ni kweli huyu Paul Christian Makonda, Mkuu wa Mkoa ni fake na mtu halisi ni Daudi Albert Bashite.

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye hii fani hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila nimeamua kujikita katika kuandika habari za kimaendeleo, "developmental news" habari zenye maslahi na impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa, hivyo hapa nitatoa maelekezo namna ya kupata uthibitisho wa uzushi na uongo huu unaoenezwa kumhusu Makonda kuwa jina lake halisi ni Daudi Bashite, na kuwa ameiba jina baada ya kufeli shule, na ame foji vyeti na kujiendeleza.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Sasa nimebadili msimamo baada ya kugundua kuwa, uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.

Anne Kilango alipodangwanywa tuu, alitumbuliwa pale pale!. Kitwaga alipopata kidogo tuu pale Bungeni, alitumbuliwa pale pale lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma hizi ni za uongo, ni za uzushi, ni za kutunga na za kubuni, haiwezekani kabisa mteule wa rais Paul Christian Makonda akaiba jina, akafoji cheti!. Huu ni uzushi wa kupuuzwa kabisa na ndio maana hata Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, na wala hata chukua hatua yoyote kwa sababu soon wengi mnaojua Kuwait Paul Makonda ndiye yule ambages... "Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye", hata akifanya nini, mtapiga tuu kelele za kujisumbua bure!, ndio maana mpaka sasa watu wametulia tuu na kuzipuuzia hizi kelele zote za kizushi huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Update.
huu pia ni uthibitisho wa jinsi watu walivyo waongo na wazushi kumhusu mtu huyu. Mkuu wetu wa Mkoa jina lake halisi na la ukweli ni Mhe. Paul Christian Makonda. Vyeti vyake viko kwenye mamlaka yake ya ajira ambayo sio hapa jf. Zile habari za Daudi Albert Bashite ni uongo wa mchana kweupe wala hakuna mtu kama huyo duniani, wala hakuna yoyote mwenye vyeti vya Bashite ulikuwa ni uongo tuu.

Mkuu wetu wa mkoa anaendelea kuchapa kazi za ujenzi wa taifa as if nothing has happened. Kelele za mlango hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi.

Paskali.

!
!
Wewe ni wa kupuuzwa tu na wewe kumbe, nikajua umekuja na kitu kipyaaa kumbe blah blah tu unaweza njaa njaa zako hapa. Weka nakala ya vyeti hapa.
 
Utumwa wa fikra huo.....

Wapo waliokwenda kwa wazazi wao na kuwahoji ... majibu yapo.

Kijijini kwao sio mbali, tulioko jijini Mwanza tumeishapewa ukweli wa kila kitu ...

Muulize kama hawafahamu akina Poneja ... wanamfahamu vizuri sana hata yeye anajua hilo.

Kama unataka akujali kwenye maslahi yako binafsi useme ila hatutaki uongo hapa JF.
We utakua muuza madawa ya kulevya
 
Clouds Media wameshasema ukweli wote mbele ya tume ya Nape na other CCTV evidence zimeshakabithiwa kwenye tume na vipo kwenye report husika.

Vipi umeshawahi ujiuliza kwanini Bashite alipita mlango wa uani na kuikimbia tume ya Nape??
Bwege Bashite kweli yule ni ziro,ina maana kama alikuwa hajavamia mbona aliikimbia tume ya Nape na kwa nini tume ya nape aikatae alafu akubali kuhojiwa na Mwakyembe,yaani huyu MTU mungu anazidi kummuumbua
Leo Makonda amepiga goli tatu, ameondoka na mpira.Leo alikua nyota wa mchezo.Timu Madawa wapo hoiii.watalala na viatu.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Daah kweli pesa sabuni ya rohoo...huyu huyu pascal nnayemjua anaongea haya maneno....tanzania ya viwanda tutazidi kuiota tuu kama watu wenyew ndo haya akina pascal
 
Pascal kimekukumba nin ndugu yangu...kama ukuu wa wilaya wenzako hawapitii jf...kumsafisha mtu..yaan kila nikisoma ulichoandika natamani kulia au kama njaa ndugu yangu hii yako imepitiliza unaweza hata toa kulee mahala kwa hii njaa uliyoipata
 
Kwa jinsi anavyojibu maswali ni Uthibitisho yote yanayosemwa kumhusu mtu huyu ni kweli.
Paskali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mayalla bwana leo ndio umejua ni kweli?? yule jamaa kilaza kweli, kwenye interview kaenda kujivua nguo kabisa ni bora angekaa kimyaaa kuliko kuonesha ujinga ulimo kichwani mwake.
 
!
!
Wewe ni wa kupuuzwa tu na wewe kumbe, nikajua umekuja na kitu kipyaaa kumbe blah blah tu unaweza njaa njaa zako hapa. Weka nakala ya vyeti hapa.
Nitajie kuna kiongozi gani kaleta nakala ya vyeti vyake humu jf? . Kwani wewe ndiye mamlaka yake ya ajira? . Nakala ziko kwenye mamlaka yake ya ajira.

Paskali
 
Mleteni Paul Makonda halisi basi.
Ninavyojua mtu anaweza kubadili jina na maisha yakaendelea.
Na inakubaliwa kisheria
kwa
1. Kuapa na kupewa Affidavity.
2. Kubatizwa na kupewa jina jipya.
3. Kuamua tu kutumia jina lingine, nk.
Mnao mtuhumu Makonda kamilisheni jambo hili la kumleta Paul Makonda ambaye mnadai alimpa cheti cha Form Four mkuu mkoa wa Daresalama
Sisi wananchi tunataka tumwone huyo Paul Makonda ambaye sio mkuu wa mkoa wa Daresalam.
Ili tuondoe mashaka yetu.
Kama amekufa wekeni hati yake ya kifo humu nasisi tuione.
La sivyo Mkuu wa mkoa wa Daresalaam anahaki ya kutumia jina la Paul Makonda na akahalalishiwa kisheria, kwani kubadili jina kupo kihalali.
Tume ya uhakiki wa vyeti haiwezi kumtia hatiani Paul Makonda kwani vyeti vyake vyote kuanzia cha Form Four vipo na ni halisi
(original)
Mtuletee basi huyo aliyempa vyeti la sivyo sisi wananchi tunaweza kuona ni tuhuma za majungu, fitina, kulipa kisasi, na mambo kama hayo.
Mmeshindwa hata kuleta picha ya huyo Makonda tusiye mjua wengi wetu,
au video au hata barua ya kuandika ?
Hebu thibitisheni kwa hili.

Narudia
Tunamwomba huyo Makonda halisi ili tuendelee kuamini mnachokisema.
 
Kaka Mayala, njaa yako ndio imemfanya Bashite ajue 'bei' yako na sasa unatumika. Kweli njaa huwa saa nyingine inaondoa utu wa mtu. mayala umeingia ktk kundi la akina Lematuz na akina cheni? Sasa tambua kuwa humu JF utadharauliwa sana mkuu.
 
Kuishi kwa unafiki ni mbaya sana! mayala unajidharaulisha mno ktk jamii, Umeamua kuwa akina lemutuz na cheni kweli? da!
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, hivyo Paul Christian Makonda anaendelea kuwa ni Paul Christian Makonda na Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mpaka itakapo thibitishwa, without any reasonable doubt kuwa Paul Christian ni mtu mwingine, na Daudi Albert Bashite ni kweli alifeli na kupata sifuri, akaiba jina na vyeti vya Paul Christian na kuvitumia kujiendeleza as if yeye ni Paul Christian hivyo ni kweli huyu Paul Christian Makonda, Mkuu wa Mkoa ni fake na mtu halisi ni Daudi Albert Bashite.

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye hii fani hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila nimeamua kujikita katika kuandika habari za kimaendeleo, "developmental news" habari zenye maslahi na impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa, hivyo hapa nitatoa maelekezo namna ya kupata uthibitisho wa uzushi na uongo huu unaoenezwa kumhusu Makonda kuwa jina lake halisi ni Daudi Bashite, na kuwa ameiba jina baada ya kufeli shule, na ame foji vyeti na kujiendeleza.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Sasa nimebadili msimamo baada ya kugundua kuwa, uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.

Anne Kilango alipodangwanywa tuu, alitumbuliwa pale pale!. Kitwaga alipopata kidogo tuu pale Bungeni, alitumbuliwa pale pale lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma hizi ni za uongo, ni za uzushi, ni za kutunga na za kubuni, haiwezekani kabisa mteule wa rais Paul Christian Makonda akaiba jina, akafoji cheti!. Huu ni uzushi wa kupuuzwa kabisa na ndio maana hata Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, na wala hata chukua hatua yoyote kwa sababu soon wengi mnaojua Kuwait Paul Makonda ndiye yule ambages... "Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye", hata akifanya nini, mtapiga tuu kelele za kujisumbua bure!, ndio maana mpaka sasa watu wametulia tuu na kuzipuuzia hizi kelele zote za kizushi huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Update.
huu pia ni uthibitisho wa jinsi watu walivyo waongo na wazushi kumhusu mtu huyu. Mkuu wetu wa Mkoa jina lake halisi na la ukweli ni Mhe. Paul Christian Makonda. Vyeti vyake viko kwenye mamlaka yake ya ajira ambayo sio hapa jf. Zile habari za Daudi Albert Bashite ni uongo wa mchana kweupe wala hakuna mtu kama huyo duniani, wala hakuna yoyote mwenye vyeti vya Bashite ulikuwa ni uongo tuu.

Mkuu wetu wa mkoa anaendelea kuchapa kazi za ujenzi wa taifa as if nothing has happened. Kelele za mlango hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi.

Paskali.

NJAA BWANA MBAYA SANA, KAKA PASKAL UNAFAA SANA KWENYE HUU UONGOZI KWA TABIA ZAKO. UNAFAA SANA, NATUMAINI MHESHIMIWA ATAKUONA KWA KILIMANJARO. ILA HUTUFAI WA TANZANIA HATA KIDOGO.
 
Back
Top Bottom