Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, hivyo Paul Christian Makonda anaendelea kuwa ni Paul Christian Makonda na Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mpaka itakapo thibitishwa, without any reasonable doubt kuwa Paul Christian ni mtu mwingine, na Daudi Albert Bashite ni kweli alifeli na kupata sifuri, akaiba jina na vyeti vya Paul Christian na kuvitumia kujiendeleza as if yeye ni Paul Christian hivyo ni kweli huyu Paul Christian Makonda, Mkuu wa Mkoa ni fake na mtu halisi ni Daudi Albert Bashite.

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye hii fani hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila nimeamua kujikita katika kuandika habari za kimaendeleo, "developmental news" habari zenye maslahi na impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa, hivyo hapa nitatoa maelekezo namna ya kupata uthibitisho wa uzushi na uongo huu unaoenezwa kumhusu Makonda kuwa jina lake halisi ni Daudi Bashite, na kuwa ameiba jina baada ya kufeli shule, na ame foji vyeti na kujiendeleza.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Sasa nimebadili msimamo baada ya kugundua kuwa, uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.

Anne Kilango alipodangwanywa tuu, alitumbuliwa pale pale!. Kitwaga alipopata kidogo tuu pale Bungeni, alitumbuliwa pale pale lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma hizi ni za uongo, ni za uzushi, ni za kutunga na za kubuni, haiwezekani kabisa mteule wa rais Paul Christian Makonda akaiba jina, akafoji cheti!. Huu ni uzushi wa kupuuzwa kabisa na ndio maana hata Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, na wala hata chukua hatua yoyote kwa sababu soon wengi mnaojua Kuwait Paul Makonda ndiye yule ambages... "Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye", hata akifanya nini, mtapiga tuu kelele za kujisumbua bure!, ndio maana mpaka sasa watu wametulia tuu na kuzipuuzia hizi kelele zote za kizushi huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Update.
huu pia ni uthibitisho wa jinsi watu walivyo waongo na wazushi kumhusu mtu huyu. Mkuu wetu wa Mkoa jina lake halisi na la ukweli ni Mhe. Paul Christian Makonda. Vyeti vyake viko kwenye mamlaka yake ya ajira ambayo sio hapa jf. Zile habari za Daudi Albert Bashite ni uongo wa mchana kweupe wala hakuna mtu kama huyo duniani, wala hakuna yoyote mwenye vyeti vya Bashite ulikuwa ni uongo tuu.

Mkuu wetu wa mkoa anaendelea kuchapa kazi za ujenzi wa taifa as if nothing has happened. Kelele za mlango hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi.

Paskali.
Uko sahara media kikazi mkuu?
 
Mh.Makonda piga kazi achana na wote wale wanaopoteza muda wao mitandaoni na media nyingine.Mh.Makonda sasa hivi mkoa wako una matatizo makubwa ya Barabara, sehemu nyingi barabara hazipitiki au kuchukua muda mrefu kupita hadi kufika barabara kuu za jiji.Hii ni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa na hata kabla.
Nikuombe tumia muda wako kuweka mikakati ya kutuondolea Kero zinazotukera.Achana kupoteza muda wako na hao wasiyofikiria Kero na matatizo ya mkoa wako.Wao hawana cha kupoteza bali Wananchi na wakazi wa Mkoa wa Dsm tunateseka.Mh.kaza Buti
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] God bless you Pascal .kwa mbinu hii ya ugunduzi Wa kutumia sumu ya nyoka kutengeneza dawa ya kutibu mtu alie ngatwa na nyoka .thanks Pascal Aka Poison .endelea na uchunguzi wako maadamu sasa tayari umeshakamata mkia Wa nyoka bashite umevuta nje ya shimo sasa kichwa umekiona sasa tafuta rungu la kupigia kichwa hicho vizuri atakama itakuchukua mpaka 2020 [emoji735] au [emoji736]
 
Mh.Makonda piga kazi achana na wote wale wanaopoteza muda wao mitandaoni na media nyingine.Mh.Makonda sasa hivi mkoa wako una matatizo makubwa ya Barabara, sehemu nyingi barabara hazipitiki au kuchukua muda mrefu kupita hadi kufika barabara kuu za jiji.Hii ni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa na hata kabla.
Nikuombe tumia muda wako kuweka mikakati ya kutuondolea Kero zinazotukera.Achana kupoteza muda wako na hao wasiyofikiria Kero na matatizo ya mkoa wako.Wao hawana cha kupoteza bali Wananchi na wakazi wa Mkoa wa Dsm tunateseka.Mh.kaza Buti
Kwahyo yeye kuwataja watu kuwa ni wauza unga kwenye MEDIA ni sawa kabisa ila hao hao wakimtaja yeye kwenye MEDIA kuwa ni mfoji vyeti ni kosa????

Kma wwe unakaa dar es salaam sasa cjui wenzetu wa nyandekwa au uvinza watakuwa na IQ gani
 
Mleteni Paul Makonda halisi basi.
Ninavyojua mtu anaweza kubadili jina na maisha yakaendelea.
Na inakubaliwa kisheria
kwa
1. Kuapa na kupewa Affidavity.
2. Kubatizwa na kupewa jina jipya.
3. Kuamua tu kutumia jina lingine, nk.
Mnao mtuhumu Makonda kamilisheni jambo hili la kumleta Paul Makonda ambaye mnadai alimpa cheti cha Form Four mkuu mkoa wa Daresalama
Sisi wananchi tunataka tumwone huyo Paul Makonda ambaye sio mkuu wa mkoa wa Daresalam.
Ili tuondoe mashaka yetu.
Kama amekufa wekeni hati yake ya kifo humu nasisi tuione.
La sivyo Mkuu wa mkoa wa Daresalaam anahaki ya kutumia jina la Paul Makonda na akahalalishiwa kisheria, kwani kubadili jina kupo kihalali.
Tume ya uhakiki wa vyeti haiwezi kumtia hatiani Paul Makonda kwani vyeti vyake vyote kuanzia cha Form Four vipo na ni halisi
(original)
Mtuletee basi huyo aliyempa vyeti la sivyo sisi wananchi tunaweza kuona ni tuhuma za majungu, fitina, kulipa kisasi, na mambo kama hayo.
Mmeshindwa hata kuleta picha ya huyo Makonda tusiye mjua wengi wetu,
au video au hata barua ya kuandika ?
Hebu thibitisheni kwa hili.

Narudia
Tunamwomba huyo Makonda halisi ili tuendelee kuamini mnachokisema.
Mkuu unafkiri watu wanakurupuka tu kusema amefoji??? Umeshaambiwa kuwa cheti alipewa na huyo Paul christian Muyenge na makonda hajawahi kanusha zaidi alilia kwenye madhabahu ssa unataka watnzania wakatae kuamini????
Kituko yye akaamua kuvamia clouds tv kisa imekataa kuweka mkanda wa kumchafua gwajima!! Hivi huyu mtu ana akili kweli?? Nashangaa mnakuja kumtetea humu

Yeye mwenyewe kakaa kimya nyie mnamjibia wa nni?? Shame on u
 
Wanabodi.

Naanza na kanuni ya haki duniani "presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, hivyo Paul Christian Makonda anaendelea kuwa ni Paul Christian Makonda na Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mpaka itakapo thibitishwa, without any reasonable doubt kuwa Paul Christian ni mtu mwingine, na Daudi Albert Bashite ni kweli alifeli na kupata sifuri, akaiba jina na vyeti vya Paul Christian na kuvitumia kujiendeleza as if yeye ni Paul Christian hivyo ni kweli huyu Paul Christian Makonda, Mkuu wa Mkoa ni fake na mtu halisi ni Daudi Albert Bashite.

Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye hii fani hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila nimeamua kujikita katika kuandika habari za kimaendeleo, "developmental news" habari zenye maslahi na impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa, hivyo hapa nitatoa maelekezo namna ya kupata uthibitisho wa uzushi na uongo huu unaoenezwa kumhusu Makonda kuwa jina lake halisi ni Daudi Bashite, na kuwa ameiba jina baada ya kufeli shule, na ame foji vyeti na kujiendeleza.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa mwishowe kugeuka kuwa ni ukweli.
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Sasa nimebadili msimamo baada ya kugundua kuwa, uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi hata siku moja kugeuka ni ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli tuu hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, kanuni yangu ni "just keep silent about the truth, and the truth will remain the truth".

Uthibitisho kuwa tuhuma hizi ni uzushi, ni huu ukweli bayana uliopo mbele yetu hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa hapa tunavyozungunza, Paul Christian Makonda, ndiye Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, na huu ndio ukweli bayana na ukweli halisi uliopo, mkubali, mkatae, ukweli unabaki kuwa ukweli, mengine yote ni uzushi tuu!.

Jee wewe Mtanzania mwenzangu, kati ya wazushi hawa wanaomzushia Makonda kuwa ana jina la bandia na vyeti vya kughushi, na rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyemwamini Makonda hadi kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na kuendelea kumwani mpaka hii leo, licha ya kuibuka kwa tuhuma hii, unamwamini nani kati ya wazushi na rais wako?.

Kwa maoni yangu Mkweli ni Rais wa JMT, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, kwa sababu tangu kuibuka kwa tuhuma hii, serikali kupitia vyombo vyake, ingeishafanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.

Anne Kilango alipodangwanywa tuu, alitumbuliwa pale pale!. Kitwaga alipopata kidogo tuu pale Bungeni, alitumbuliwa pale pale lakini kitendo cha Paul Makonda, hadi dakika hii, bado ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwangu ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma hizi ni za uongo, ni za uzushi, ni za kutunga na za kubuni, haiwezekani kabisa mteule wa rais Paul Christian Makonda akaiba jina, akafoji cheti!. Huu ni uzushi wa kupuuzwa kabisa na ndio maana hata Makonda mwenyewe amezipuuza, na Rais hajachukua hatua yoyote, na wala hata chukua hatua yoyote kwa sababu soon wengi mnaojua Kuwait Paul Makonda ndiye yule ambages... "Huyu ndiye mwanangu mpendwa wangu, ninaye pendezwa naye", hata akifanya nini, mtapiga tuu kelele za kujisumbua bure!, ndio maana mpaka sasa watu wametulia tuu na kuzipuuzia hizi kelele zote za kizushi huku wazushi wakiendelea kupiga kelele.

Wengi mliujua uwezo wa Makonda, alipoanza vita na wauza unga, sisi wengine, tuliujua uwezo wa Makonda toka akiwa DC na tulitoa ushauri ufuatao kwa Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es ...
Tena tumependekeza
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Update.
huu pia ni uthibitisho wa jinsi watu walivyo waongo na wazushi kumhusu mtu huyu. Mkuu wetu wa Mkoa jina lake halisi na la ukweli ni Mhe. Paul Christian Makonda. Vyeti vyake viko kwenye mamlaka yake ya ajira ambayo sio hapa jf. Zile habari za Daudi Albert Bashite ni uongo wa mchana kweupe wala hakuna mtu kama huyo duniani, wala hakuna yoyote mwenye vyeti vya Bashite ulikuwa ni uongo tuu.

Mkuu wetu wa mkoa anaendelea kuchapa kazi za ujenzi wa taifa as if nothing has happened. Kelele za mlango hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi.

Paskali.

Hivi mh Rais siku ile alisema kikwao Mayala ni nini tena?
 
Kuna mtu alijaribu kumjibu makonda Leo naona kaishia kuweweseka tu
Nabi huyo?Makonda ameshindwa kujibu maswali,ameishia kupiga ngonjera!Anaulizwa vyeti,anarukaruka madawa ya kulevya,anaulizwa uvamizi anajibu madawa ya kulevya,kila kitu madawa ya kulevya!Ebo,kuna uhusiano gani kati ya madawa ya kulevya na vyeti feki
 
Kama Mayalla ni njaa kama ilivosemwa basi inajidhihirisha...!!!au wamekushibisha nn..??[emoji53][emoji53][emoji53]
 
aisee sikujua kumbe pascal mayalla na wewe uko namna hii...unamsafisha mtu bila kuwa na uhakika...na wala huna vyeti...mayalla ulisoma na mheshimiwa????
 
Ki
investigationni wa kupuuzwa, unachokitetea wewe umeshindwaje kuleta reference??

Nikuulize je Kihiyo alivyojiuzulu ubunge ilikuaje? Je hayo uliyoainisha yalifanywa..,
Au kwa sababu ya usukuma wenu...
Kihiyo alijiuzulu baada ya watu wenye akili zao kufanya investigation na kwenda na hizo facts mahakamani ndiyo akaona bora aachie ngazi. Siyo nyie mnakuja na makelele ya kuomba ati muoneshwe cheti, kwani nyie nani? Hampajui mahakamani? Kwani cheti cha mbowe ulishakiona? Kuna watu wengi tu hapa jf wenye akili fupi kama zako za kutaka kuona cheti cha mbowe na bado Mbowe wala hajali. Ati Usukuma? inakuuma sana kwa msukuma kuwa Rais? Vimba hadi ufe maana mpaka atoke madarakani bado 8 yrs ukipenda usipende.
 
kama jina lako lilivyo njaa inakusumbua hivyo hatuna budi tukuache Mara nyingi naamini wasomi hupinga kitu kwa hoja hujiulizi tu ni kwanini serikali ikasema mkuu Wa mkoa hahitaji cheti ???? nilikuelewa sana pale ikulu siku ya mkutano wenu ila kwa Leo sidhani kama una hoja ya kutetea mpigie simu DAB umuulize kwann Leo ametapatapa kujibu maswali ingawa najua alielewa maswali atakayouliza kwani kipindi chenyewe inavyosemekana sio proved amekinunua kwa kusaidia kulipa kodi za jamaa na ukatibu mkuu Wa chama Fulani narudia tena msomi yeyote pinga kwa hoja.
 
Mleta uzi nafasi nyingi za uteuzi zimeisha. Angalia demand ya wananchi imetimia au imeshajibiwa kama bado inabidi Mods waku-ban tu.
 
Kimsingi hapa hakuna tatizo ......hivyo basi kutokana na hulka zetu lazima FITNA ijengwe ili kubomoa.
 
mleta mada kaisha sema yote watu wanayosema ni kweli sijui kwanini bado mnatukana kakiri kwamba Jamaa ni bashite na kafoji vyeti
 
Mkuu unafkiri watu wanakurupuka tu kusema amefoji??? Umeshaambiwa kuwa cheti alipewa na huyo Paul christian Muyenge na makonda hajawahi kanusha zaidi alilia kwenye madhabahu ssa unataka watnzania wakatae kuamini????
Kituko yye akaamua kuvamia clouds tv kisa imekataa kuweka mkanda wa kumchafua gwajima!! Hivi huyu mtu ana akili kweli?? Nashangaa mnakuja kumtetea humu

Yeye mwenyewe kakaa kimya nyie mnamjibia wa nni?? Shame on u
Umefafanua vizuri mkuu, ila umemalizia sentensi kwa jazba kidogo.
Humu watu wanatoa maoni na sio lazima yafanane kimaana.
Sio kwamba Makonda anatetewa,
pia mtu kutojibu tuhuma sio uthibitisho wa kutenda kosa.
Watu wanaolia kanisani sio lazima iwe wanaonesha hatia yao kwa jamii, Wakristo huwa wanalia kama sehemu ya ibada.
Nilichosema ni kuwa kama wanamtuhumu Makonda kufoji vyeti njia ya kumleta Makonda halisi ni njia nzuri sana ya kumuwajibisha Makonda feki.
Angalia mfano
Makonda halisi anajitokeza na kukiri kwenye vyombo vya habari kuwa yeye ndo alimwazima cheti RC wa Daresalaam.
Akatoa histori yake kamili na kuthibitisha kwamba cheti ni cha kwake
Hapo RC hatakuwa na nguvu yoyote zaidi ya kujiuzulu nafasi zake zote.
Hata kama Raisi anamlinda akijitokeza Makonda halisi hatakuwa na jinsi zaidi ya kimtumbua.
Hapo itakuwa ndo mwisho wake na zaidi anaweza kushtakiwa.
Mi nilipendekeza njia hiyo siyo kwa kumtetea bali kumuumbua kwa kuweka ushahidi wenye mashiko.
Nakuuliza tu ndugu umeshamwona huyo makonda halisi ?
Au nawewe umeamini tu kwa kusikia ?
Makonda halisi akiletwa mi naona ndio muarobaini wa kumuwajibisha makonda feki.
Hata vyombo vyetu vya sheria kama Mahakama, kama watu wote wasema mwizi ameiba, haita amini maneno hadi iletewe kidhibiti yaani kitu kilichoibiwa.
Makonda halisi ni kidhibiti. Nini kinashindikana hadi anashindwa kuletwa na watu wenye hekina na nguvu kama wewe?
Ndugu mimi simtetei Makonda nilikuwa naomba kidhibiti ili tuhuma zake ziwe na uzito.
Nimekushangaa mkuu kwa kutofautiana na mtazamo wako umeghadhibika hata unaandika
"Shame on you"
Wewe ni kiongozi inabidi uwe mvumilivu kwenye kusikiliza maoni, mtu anapotoa maoni sio lazima yapite kwenye mtazamo wako hata kama lengo linaweza kuwa moja la kumuwajibisha mkosaji.
Jaribu kuwa muungwana unapomjibu mtu hata kama atatofautiana naye kimtazamo ndo maana kuna kitu kinaitwa demokrasia.
 
Mkuu kwanza nashkuru kwa uungwana wako na samahani sana na kumradhi kwa jazba nlikuwa carried over na comment yako maana sikuelewa ni vp makonda anatetewa ila sina namna zaiidi ya kuheshim kutofautiana mawazo na ni kweli hyi ndio demokrasia!!

1.Makonda halisi hayupo.... cheti kiliandikwa Paul Christian M ambayo M ni muyenge ila mkuu wa mkoa wa sasa alienda mahakamani na kusajili jina jipya kisheria ndo akaongeza Makonda kwenye M hivyo ieleweke kwamba hakuna mtu anaitwa Paul Christian Makonda kwenye cheti cha form 4 chochote hapa Tanzania!!!!!

2. Mkuu huyo anayeitwa muyenge alishwahi kutafutwa na hta uzi ulipandishwa humu ila alikataa kukubali kuwa alimpa mkuu wa mkoa wa sasa cheti cha form 4 and its obvious asingekubali maana afterall alimpa hicho cheti kwa makubaliano na huenda anaogopa kushughulikiwa kma alivyoshughulikiwa nape!!!

3. Unasema ukiletwa ushahidi utamfanya rais achukue maamuzi ila kwa uelewa wangu mdogo tu ninaamini kma rais aliweza kujua wafanya kazi hewa na wenye vyeti feki nchi nzima sioni wapi mpaka leo hii hajui kma makonda anavyeti feki ama la!!! Hivyo naamini Rais magufuli either anajua makonda ana vyeti original au anajua kuwa ana vyeti feki ila sioni wapi anahitaji ushahidi ili rais achukue hatua!!!!! Coz president knows better kwenye kila kitu maana anapewa taarifa na TISS.

4. Mkuu mie ni mwananchi wa kawaida tu na sio kiongozi kokote pale hivyo nategemea secondarly information ili nipate taarifa tofauti tofauti za hapa nchini. Sasa kama makonda hajafoji cheti kwa reasoning ya kawaida tu kwanni ahangaike na gwajima tena kwa kujaribu kumchafua na video ya uasherati??? Kma kweli gwajima anamsingizia si amkamamte kma amemuacha inaleta picha gani kwangu mmi raia wa kawaida??? Au je kma gwajima kamsingizia iweje makonda atumie mbinu chafu hadi kufikia kuvamia kituo cha tv kisa tu haijarusha clip ile we unafkiri mmi mwananchi wa kawaida ntaamini kasingiziwa kuhusu vyeti???

5. Makonda ni kiongozi ssa kweli Kma kasingiziwa na tuhuma hizi hadi kufkia huku mtaani BASHITE limekuaa tusi huoni inachafua serikali mpaka kenya hadi uganda wanamjua BASHITE ssa serikali kukaa kimya unaona sawa??? Kma makonda kasingiziwa kwanni asiweke vyeti hadharani amalize utata kma alivyofanya Naoe nnauye kipindi anaugomvi na mnyika kuhusu vyeti mwaka 2012 ilikuwa na uzi upo humu!!! Na utata wa vyeti vya hao wawili ukaishia hapo

Pia tulimuona mwigulu nchemba akifanya the same alikuja humu akapandisha uzi na mjadala ukafia hapo ingawa hata kma bado kuna utata ila at least kuna watu walimuelewa na sasa hawashuku tena uhalali wa vyeti vyake ssa Y not makonda??? Anaogopa nni??? Kwanni swala la vyeti analikwepa sana zaidi anasema WAUZA MADAWA wanamuandama!!! Which is truee lakini kma hana makosa kwanni alie madhabahuni kisa wanamuandama issue ya vyeti??

Unajua mkuu maswali ni mengi kuliko majibu ndio maana sisi wananchi wa kawaida tunapata kigugumizi kuamini kma makonda anasingiziwa!!! Its simple aweke vyeti basi kesi iishe alishafanya bashe,mnyika,nape,ridhiwan ssa makonda anaogopa nni????
 
Sawa mkuu nimekupata,
huku uraiani huwa tunapata taarifa nusunusu wakati mwingine.
Kwa hali ilipofikia Makonda RC analazimika kuzikana tuhuma hizi hadharani.
Na kuweka wazi vithibitisho vya vyeti vyake halisi.
La sivyo ushahidi
wa kimazingira unamtia hatiani.
Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Back
Top Bottom