Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
Kinyumbani nyumbani au sioHata hili sakata la makontena ni upepo tuu na utapita.
P.
Unadhani kuna mjinga Tanzania? Kama wapo ni 0.01% (ukiacha wasiosoma, wazee vijijini, vichaa ambao ndiyo nguzo kubwa ya CCM)Paul Makonda, usikubali kusingiziwa na kuaibishwa, tunaomba tukuchangie hiyo Billion 1.2, ulipe kodi yao, makontena yatoke, kisha sambaza vifaa hivyo mbele ya waandishi wa habari, ili waliokusingizia kuwa unapiga deal's, waaibike.
Endelea kumtegemea Mungu, hata hili la makontena, litapita tuu kama upepo.
P
Neno litasimama, mambo mengine.yote yatapita, Neno itasimama.Unadhani kuna mjinga Tanzania? Kama wapo ni 0.01% (ukiacha wasiosoma, wazee vijijini, vichaa ambao ndiyo nguzo kubwa ya CCM)
Jpm kawavua nguo leo wapambe wa dabNadhani hata hii ya kuyazuia makontena yake na kutaka kuyapiga mnada, ni vivu tuu dhidi ya mafanikio yake!.
Jee endelee tuu kuwapuuza, or this time, awazingatie?.
P
Yule mgonjwa wa Belgium anawaunganisha baba na mtoto, hizi ni movie ,extremely well calculated! Neno litasimama! Hawezi kumtupa, hawezi hawezi hawezi!Neno litasimama, mambo mengine.yote yatapita, Neno itasimama.
P.
Mungu mlinde na msaidie lissuYule mgonjwa wa Belgium anawaunganisha baba na mtoto, hizi ni movie ,extremely well calculated! Neno litasimama! Hawezi kumtupa, hawezi hawezi hawezi!
Huyo MTU ni mpiga dili aliejificha kwenye mgogo wa kusaidia waalimuPaul Makonda, usikubali kusingiziwa na kuaibishwa, tunaomba tukuchangie hiyo Billion 1.2, ulipe kodi yao, makontena yatoke, kisha sambaza vifaa hivyo mbele ya waandishi wa habari, ili waliokusingizia kuwa unapiga deal's, waaibike.
Endelea kumtegemea Mungu, hata hili la makontena, litapita tuu kama upepo.
P
Wamezoea kugushi vyeti, leo wamegushi vyeti vya macontainer waziwazi,Dah, nikajua umeleta vyeti vyake Mkuu.. Kumbe wale wale tu, umejipambanua sana mwanzoni kwa Mkwara kua mwandishi mtafiti, acha kiki mkuu.
[HASHTAG]#vyetimubashara[/HASHTAG]
MmmmNadhani hata hii ya kuyazuia makontena yake na kutaka kuyapiga mnada, ni vivu tuu dhidi ya mafanikio yake!.
Jee endelee tuu kuwapuuza, or this time, awazingatie?.
P
Uzuri ile kamati ya hadhi na madaraka ya bunge hapa haihusikii[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mkuu Yericko, sio kuamua kujilipua bali kuwa mkweli!.
P.
Hakika ni wivu tuuu.kisa anakamata madawa ya kulevya.Paul Makonda, usikubali kusingiziwa na kuaibishwa, tunaomba tukuchangie hiyo Billion 1.2, ulipe kodi yao, makontena yatoke, kisha sambaza vifaa hivyo mbele ya waandishi wa habari, ili waliokusingizia kuwa unapiga deal's, waaibike.
Endelea kumtegemea Mungu, hata hili la makontena, litapita tuu kama upepo.
P
Mkuu paskali amekua mayo tangia lini?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] .au unataka akupelele idodomya kwenye kale kakamati kinga,hadhi na madaraka ya.....Ha! Ha! Ha! Pascal ulimola mayo .