Kumbe nilikuwa nakosea sana kuwadharau Wanawake kwenye Uongozi

Kumbe nilikuwa nakosea sana kuwadharau Wanawake kwenye Uongozi

hiyo historia y wapi wanawake ni viongoz iko wapi? acha kupotosha jamii, mwanamke kaumbwa kuzaa,kutunza na kulea familia tu, sio kuongoza group la watu wakiwepo wanaume, ndiomaana viongz weng wa kike wanakosa confidence na maamuzi magumu maana hawana haiba ya kuongozs bali kuongozwa, rudi chekechea ukasome upya history
Uingereza imetawala dunia ikiwa chini ya malikia kama sikosei. Cc Sky Eclat
 
Umeandika hii mada yako katika mazingira ya kutaka kutuaminisha kama Wanaume hatuuwezi kabisa uongozi! Jambo ambalo si kweli hata kidogo!

Eti mpaka tunaona aibu!! Aibu ya nini sasa!! Labda hiyo aibu unaiona wewe. Mimi sioni aibu yoyote ile. By the way, kwanza sijaona jipya lolote lile lililotokea ndani ya hizi siku 100 za utawala wake!

Hii tabia ya kuwasifia watu kinafiki mpaka kupitiliza, ndiyo huwafanya kujiona kama miungu watu vile siku za baadae.
 
hiyo historia y wapi wanawake ni viongoz iko wapi? acha kupotosha jamii, mwanamke kaumbwa kuzaa,kutunza na kulea familia tu, sio kuongoza group la watu wakiwepo wanaume, ndiomaana viongz weng wa kike wanakosa confidence na maamuzi magumu maana hawana haiba ya kuongozs bali kuongozwa, rudi chekechea ukasome upya history
Mkuu unayumba sana. Wewe unamfahamu queen Bersheba wa Afrika,Magret Thatcher wa Uk nk?
Ata leo hii bado wapo wengi tu viongozi wakuu wa nchi eg. German na nchi zingine za Ulaya. Na kiongozi sio lazima awe mkuu wa nchi ....soma usije onekana mjinga zaidi ya ulivyo sasa,na haipendezi kuonyesha ujuha kwenye kadamnasi kama hii
 
Ameongelea jana hiyo program ya kuitangaza nchi, akitumia maneno rebranding. Naamini yupo vizuri katika masuala ya mawasiliano, anao uwezo wa kukaribisha mtu kwa lugha ya muonekano bila hata ya yeye kuzungumza na hiyo ni sifa nzuri kwa kiongozi wa nchi kuwa nayo...
Nakubaliana nawe Rais mwanamke yuko vizuri sana , mimi shida yangu ni watendaji wenye kujiamini, uzalendo, uadilifu na ubunifu ni masuala ya msingi sana kwa ajili ya utawala na uongozi wa pamoja uliotukuka. Hiyo ndiyo changamoto kubwa iliyosumbua awamu zote.Aanze nayo.
 
Back
Top Bottom