Uingereza imetawala dunia ikiwa chini ya malikia kama sikosei. Cc Sky Eclathiyo historia y wapi wanawake ni viongoz iko wapi? acha kupotosha jamii, mwanamke kaumbwa kuzaa,kutunza na kulea familia tu, sio kuongoza group la watu wakiwepo wanaume, ndiomaana viongz weng wa kike wanakosa confidence na maamuzi magumu maana hawana haiba ya kuongozs bali kuongozwa, rudi chekechea ukasome upya history
Mkuu unayumba sana. Wewe unamfahamu queen Bersheba wa Afrika,Magret Thatcher wa Uk nk?hiyo historia y wapi wanawake ni viongoz iko wapi? acha kupotosha jamii, mwanamke kaumbwa kuzaa,kutunza na kulea familia tu, sio kuongoza group la watu wakiwepo wanaume, ndiomaana viongz weng wa kike wanakosa confidence na maamuzi magumu maana hawana haiba ya kuongozs bali kuongozwa, rudi chekechea ukasome upya history
Nakubaliana nawe Rais mwanamke yuko vizuri sana , mimi shida yangu ni watendaji wenye kujiamini, uzalendo, uadilifu na ubunifu ni masuala ya msingi sana kwa ajili ya utawala na uongozi wa pamoja uliotukuka. Hiyo ndiyo changamoto kubwa iliyosumbua awamu zote.Aanze nayo.Ameongelea jana hiyo program ya kuitangaza nchi, akitumia maneno rebranding. Naamini yupo vizuri katika masuala ya mawasiliano, anao uwezo wa kukaribisha mtu kwa lugha ya muonekano bila hata ya yeye kuzungumza na hiyo ni sifa nzuri kwa kiongozi wa nchi kuwa nayo...
hapana kuna kitu zaidi ya hiko mkuu..
Asante mkuuHistorically,women are natural leaders. Wanawake wanakwamishwa na mifumo mibovu na udhaifu wa kimaumbile na sababu za kibaolojia. Lakini wamefanya makubwa sana kwenye tawala za kale.