Kumbe Nusrat Hanje bado Yupo CHADEMA

MAKANGEMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
2,670
Reaction score
7,655
Nipo kwenye mdahalo wa kitaifa wa vijana kuhusu miaka mitatu ya Raisi Samia Hassan na utekelezaji wa ajenda za vijana ......huu mdahalo umeandaliwa na Huyu Mbunge wa viti maalum Nusrat Hanje,mgeni rasmi akiwa PM Majaliwa

Nimeshangaa hapa anajitambulisha anatoka CHADEMA.

Ila ubunge unalipa kama hii events yote kaiandaa yeye ingawaje wahudhuriaji wengi ni sisi wanachuo tunatumika bila kujua.

Kinachoendelea hapa ni uchawa na unyuki wa kiwango cha SGR

Mytake:Heko kwako Mh Nusrat Hanje naona unandaa mazingira ya mwakani ukihamia CCM rasmi uendelee kuramba asali.
 
Ahamie ccm mara ngapi mkuu?
Tayari yupo ccm kitambo huyo hayo mengine ni maneno ya kuficha aibu tu
 
Mke wa Maulid Kitenge ndoa iliyodumu kwa wiki moja tu.

Sijui Kitenge alikutana na nini hapo kati hadi atimue mbio mapema hivyo.
Angekuoa wewe ili utulizane
 
Wale covid-19 wote ni wanachama hai wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…