Kumbe Nusrat Hanje bado Yupo CHADEMA

Kumbe Nusrat Hanje bado Yupo CHADEMA

Nipo kwenye mdahalo wa kitaifa wa vijana kuhusu miaka mitatu ya Raisi Samia Hassan na utekelezaji wa ajenda za vijana ......huu mdahalo umeandaliwa na Huyu Mbunge wa viti maalum Nusrat Hanje,mgeni rasmi akiwa PM Majaliwa

Nimeshangaa hapa anajitambulisha anatoka CHADEMA.

Ila ubunge unalipa kama hii events yote kaiandaa yeye ingawaje wahudhuriaji wengi ni sisi wanachuo tunatumika bila kujua.

Kinachoendelea hapa ni uchawa na unyuki wa kiwango cha SGR

Mytake:Heko kwako Mh Nusrat Hanje naona unandaa mazingira ya mwakani ukihamia CCM rasmi uendelee kuramba asali.View attachment 2998833

..Ni Tanzania peke yake ndio unaweza kufanya jambo kama hilo na watu wasikupe ukweli wako.🤣
 
Back
Top Bottom