Kumbe P-Funk siye aliyetengeneza mdundo wa She Got a Gwan

Muziki ndiyo ulivyo, na ukitaka muziki bora basi washilikiane watayarishaji wengi. Maana mmoja mzuri kweli beats, mwingine kicks mwingine mastering, mwingine anavyo-compose

Na ukifuatalia muziki ulitengenezwa na watu wawili kuendelea lazima uvume haswa.
 
Hii nyimbo huwa nikiisikiliza huwa napata mzuka flani hivi wa ajabu wa kuzidi kupenda muziki wa Ngwea zaidi... Hata ile "Gheto Langu" na "Mikasi" ni mikwaju mikali sana... Miaka ya 2000 hii ngoma ya Ngwea ya "Mikasi" ilishagawahi pigwa sana redio moja hivi ya kule nchini England na DJ mmoja hivi anaitwa Frank kwenye Radio Show zake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi, lakini ngoma nyingi za bongo napiga sana tu, jana nimepiga Hadithi ya Nacha. comments ni Ve+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…