Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Jf ichukulie kama ulivyosema mkuu....wala hakuna aliye panic mbona,.Teh jf ukiichukulia serious utakufa muda sio wako
Jamaa kasema sijui watu wana sura kama ya mbuzi ...watu wenyewe hajawahi kuonana nao ,mtu unapaniki kisa nini ?
Oh kumbe ? Basi sawa mkuuJf ichukulie kama ulivyosema mkuu....wala hakuna aliye panic mbona,.
Shangaa na wewe.Jf ichukulie kama ulivyosema mkuu....wala hakuna aliye panic mbona,.
Hahahaaha,..ngoja siku tutupie zetu og watu washindwe kufungua biashara zao...teh tehWatu wa stress jamani. Haya kuja kutusema na sura zetu mbaya kwanini sasa. Bora mods wamempa ban akajitafakari kidogo.
Bi mkubwa vipi ? Kosa kusema mtu kapaniki kisa kafananishwa na mbuzi ?Shangaa na wewe.
Kwani wanakuombaga uwahurumie?Halafu mnakua mnaringa sana, utakuta demu mbaya unamtongoza kumuhurumia tuu nae apate mwanaume lakin et anakutolea nnje
Hatutaki tu kuwavuruga halafu wanatuona kisa sisi wabaya [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaha,..ngoja siku tutupie zetu og watu washindwe kufungua biashara zao...teh teh
Hapana sio kosa. Tulikua tunaeleweshana ulivyosema mtu kapanic. Wala hujakoseaBi mkubwa vipi ? Kosa kusema mtu kapaniki kisa kafananishwa na mbuzi ?
Hakana adabu kana dharau utazani mamake ni malaikaImebidi nimuangalie tena huyo mtoto. Ila uzuri wa mtu uko kwa mtu. Sio mbaya wala hana uzuri huo wa kutusimanga wanawake wa humu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Afadhaliii,..na sura lake kama kifaru cha jeshi
AfadhaliHallelujah kapewa na ban akahangaike nalo.
Hahaha kifaru cha jeshi,vitoto vingine havijakomaa akili vinajiropokea tu ili na vyenyew vionekaneAfadhaliii,..na sura lake kama kifaru cha jeshi
Watuwekee jf live,watashangaa[emoji38]Hahahaaha,..ngoja siku tutupie zetu og watu washindwe kufungua biashara zao...teh teh
kwa wanaotaka kulipiza kisasi haka hapa unakatafuna taratibu.hivi Diamond hajakaona? kana damu ya muziki RUGE hatakaacha!!! ni kama embe bichi hata kama hakajakomaa chumvi itatumika kula embe bichiJamaa inaelezwa huyu binti hapo pembeni ni mwanae, kwa mujibu wa Millard Ayo blog...basi jamaa alianza kwichkwich kitambo kidogo...🙁View attachment 712782