Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Jf ichukulie kama ulivyosema mkuu....wala hakuna aliye panic mbona,.Teh jf ukiichukulia serious utakufa muda sio wako
Jamaa kasema sijui watu wana sura kama ya mbuzi ...watu wenyewe hajawahi kuonana nao ,mtu unapaniki kisa nini ?