Usitusingizie mwenyewe maneno yako ya hovyo yalikufungisha. Huku tunatoa stress we unajipa stress mpaka unaanza kuongea maneno yasiyofaa mkuu na mods hawawezi kuvumilia mtu mzima kama wewe kujivua nguo hadharani ndo maana wakakupumzisha utulize hasira kwangu.Mmefanya fitina mpaka nimefungiwa
Minliongea maneno ya mtazamo wangu kwa uzoefu wangu wa hio jf, sasa mkanichangia hadi nikafungiwaUsitusingizie mwenyewe maneno yako ya hovyo yalikufungisha. Huku tunatoa stress we unajipa stress mpaka unaanza kuongea maneno yasiyofaa mkuu na mods hawawezi kuvumilia mtu mzima kama wewe kujivua nguo hadharani ndo maana wakakupumzisha utulize hasira kwangu.
Karibu tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ulitunanga kwa maneno mabaya lakini.Minliongea maneno ya mtazamo wangu kwa uzoefu wangu wa hio jf, sasa mkanichangia hadi nikafungiwa
Niliwananga wenye sifa zile, kwani wewe una sifa zile?? Mbona unanipa wasiwasi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ulitunanga kwa maneno mabaya lakini.
Ulitunanga wanawake wa JF. Na mie nimo humo ukumbuke.Niliwananga wenye sifa zile, kwani wewe una sifa zile?? Mbona unanipa wasiwasi sasa
Kama wew unafanana na huyo ulieweka profile basi tulia, jiwe halikuhusu lileUlitunanga wanawake wa JF. Na mie nimo humo ukumbuke.
Sawa.Kama wew unafanana na huyo ulieweka profile basi tulia, jiwe halikuhusu lile
[emoji2] [emoji106]Sawa.
Kwani maziwa kulala inatokana na mambo ya kikubwa?, wengine ni maumbile yao tu.Maziwa yashalala...wajanja washafanya yao sana
Wewe unaona wa kawaida, kwa wengine, huyo ni bonge la kifaa.Huyo ni wa kawaida tu. ila sema watu wengi macho yao yanamatege.
Baba mkwe mbakaji. Ni hatari.... atabaka watoto wangu huyoJamaa inaelezwa huyu binti hapo pembeni ni mwanae, kwa mujibu wa Millard Ayo blog...basi jamaa alianza kwichkwich kitambo kidogo...🙁View attachment 712782
Nasikia na ww ni kati ya wale waliofanyiwa huwo ukatilii pole sana najua ni kiasi gani unavojisikia.Baba mkwe mbakaji. Ni hatari.... atabaka watoto wangu huyo
Pole sana kwa hilo tukio walilokufanyia hawa jamaa, najua ni kiasi gani unavisikia kuwaona wapo uraiani.Wabakaji walio huru mtaani.