Nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lile inaonesha litakua nene halafu leusi
Kazi kwelikweli [emoji3]Teh jf ukiichukulia serious utakufa muda sio wako
Jamaa kasema sijui watu wana sura kama ya mbuzi ...watu wenyewe hajawahi kuonana nao ,mtu unapaniki kisa nini ?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Watu wa stress jamani. Haya kuja kutusema na sura zetu mbaya kwanini sasa. Bora mods wamempa ban akajitafakari kidogo.
Hahahahahaha! Duuuuu nimecheka mbele ya kadamnasi ya watu ikabidi wote wanitazameHalafu mnakua mnaringa sana, utakuta demu mbaya unamtongoza kumuhurumia tuu nae apate mwanaume lakin et anakutolea nnje
HahahaahaNimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukweli huoMweeeh