Kumbe Papii kocha anaweza kuwa baba mkwe, hili toto lake

Kumbe Papii kocha anaweza kuwa baba mkwe, hili toto lake

Watu wa stress jamani. Haya kuja kutusema na sura zetu mbaya kwanini sasa. Bora mods wamempa ban akajitafakari kidogo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Uko vizuri mrembo usikwazike...
 
Halafu mnakua mnaringa sana, utakuta demu mbaya unamtongoza kumuhurumia tuu nae apate mwanaume lakin et anakutolea nnje
Hahahahahaha! Duuuuu nimecheka mbele ya kadamnasi ya watu ikabidi wote wanitazame
 
Tunzenu maneno wakuu!
Binti zenu nao wanajadiliwa hivi hivi!
 
Back
Top Bottom