Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

Kiafya.....

Pombe iliyopitiliza inazuia kunyonywa kwa virutubisho vya "vitamins".....

Na vitamini ndizo zinazosaidia afya ya MISHIPA YA FAHAMU(nerves).

Ulevi uliopitiliza unasababisha hata unyonywaji wa virutubisho vyengine kuwa shida katika "gastric mucosa" na ndio maana hawa "walevi" mbwa haswa hizi pombe zetu chafu(pombe radhi) akina shengena na nyinginezo kuwafanya kukosa AFYA ya mwili na kunyonyoka nywele utafikiri kuku vishingo na vinyavu.


Punguza pombe iliyopitiliza ukishindwa waone wataalamu wa saikolojia umesikia wewe "eye opener"?!!!
 
Back
Top Bottom