Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
akizingatia ataishi milele?Zingatia lishe , maini yamelika na ethanol iliyopo kwa pombe , usipozingatia lishe na uache pombe kabisa jeneza linakuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akizingatia ataishi milele?Zingatia lishe , maini yamelika na ethanol iliyopo kwa pombe , usipozingatia lishe na uache pombe kabisa jeneza linakuhusu
Hapo shida ni smart gin. sio pombeNimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
Alipofikia ni pabaya, hawezi ishi bila pombe, yupo radhi asile..Ana vibrate 😄
Mbaya sana hiyo
Ova
No,anaweza kukaa sawaAlipofikia ni pabaya, hawezi ishi bila pombe, yupo radhi asile..
Madam haramu kwa wachache ambao bado hawajitambui😊Mkiambiwa pombe ni haramu hamtaki.
Uislam mwema sana.
Kitimoto je?Mkiambiwa pombe ni haramu hamtaki.
Uislam mwema sana.
Hiyo mito ya pombe huko peponi ni ya nini kama pombe ni haramu!!??Mkiambiwa pombe ni haramu hamtaki.
Uislam mwema sana.
Nyie ndio mnao tuharibia sifa zote nzuri za pombe...😋Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
Vip wakat unamla mtu mzigo unakuaje?Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin