Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

Ukichanganya na tumbaku (fegi) ndio kabisaaa nguvu ya taifa inapotea and on the other hand Nchi inaendelea kwa Kodi za hao hao wanao tengeneza sumu tamu na pendwa mpk mtu afya yake inakongoroka , Speaking from experience....
Pombe rahis + Tumbaku= kifo bila kujua
 
Ukichanganya na tumbaku (fegi) ndio kabisaaa nguvu ya taifa inapotea and on the other hand Nchi inaendelea kwa Kodi za hao hao wanao tengeneza sumu tamu na pendwa mpk mtu afya yake inakongoroka , Speaking from experience....
Pombe rahis + Tumbaku= kifo bila kujua
Daah
 
Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
Hizo mitetemeko au tremors huwatokea watu wanakunywa pombe nyingi kila siku...... sasa hiyo huwa dalili ya ukosefu pombe mwilini ....mwili unakuwa umezoea kuwa pombe muda wote

Sasa ukikosa pombe ndani siku moja utaanza kutetemeka hali huwa mbaya siku ya tatu .... hali hii huwakuta sana watu wanataka kuacha pombe ....

So hivyo hupewa dawa ya valium kuzuia mitetemo wakati kuacha pombe.....angalizo valium ukinywa usinywe pombe tunakuzika...pia hakikisha unataka kuacha kweli pombe ndo kupunguza mitetemeko unakunywa valium......

Kwa kuongezea kama wewe ni mlevi sana kupindukia usiache pombe tu kienyeji pia kumuona daktari .....maana ukiacha pombe ghafla bila ushauri wa daktari unaeweza kufa kabisa na dalili za ukosefu wa pombe ....alcohow withdraw symptoms....

So ni vyema uongee na daktari mpange mipango ya jinsi gani utaacha pombe kwa njia ipo....
 
Mi nasema pombe haina tofauti na Bangi, sigara au Madawa ya kulevya Cocaine au Meth zote zina Ua Didict ambao ukishakuwa adict it's hard to go out and in time unaweza kugombana hata na ndugu au marafiki zako plus sura kuchakaa sababu ya Mingeu utakayoipata Kama mshahara wa Stimu nyingi kwa kichwa.
Finish........
 
Back
Top Bottom