Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
Ukizidisha pombe hasa pombe kali ndo hivyo kula bia laini kwa kiasi
 
Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
Na bdo tupo itakuwa ivmba kama mam mjamzto wa miez tisa ikifka hapo Israel ayupo mbali ukjamba tu uyu hapo aiseee pole sana
 
Hata ukishika nyapuu na kiduara wakati wa mzagamuo unatetemeka km jenereta bovu LA king max?

Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin

Pole, hapa kuna vitu vingi vya kiafya:
Unapata intetional tremor/kutetemeka kusiko kwa kudhamiria na huwezi kuzuia.

Ni dalili ya matumizi makubwa ya pombe na utegemezi. Hivyo, unahitaji kufanya UAMZI MHIMU DHIDI YA MSTAKABALI WA AFYA YAKO, unahitaji mpangilio mzuri wa kupunguza kiasi cha pombe na kupata tiba ya kutokukuletea madhira dhidi ya upunguzaji/kama yatakuwepo na mwisho kuamua kuacha.

1: Pombe huwa inaleta madhara kwenye sehemu ya ubongo inayosimamia fine motor activities skills/kazi za mikono na mengineyo.

2: Kama utasitisha ghafla kunywa pombe/bila mpangilio pia hili hutokea.
Hapa hili huonyesha kiasi kikubwa vha utegemezi wako kwenye pombe.

3: Pombe kuleta madhara kwenye ini ambapo hili pia hutokea.

4: Hii pia huweza kuwa dalili ya kushuka kwa sukari kama mhusika anakunywa pombe bila kula vyema.

Chagua fungu jema kusuka au kunyoa, hii ni baada ya kutafakari vyema wewe na nafsi yako pamoja na Muumba.
 
Ni dalili ya kuwa mwili umejawa pombe kuliko chakula
 
Bora hata umejistukia, mbaya ni ile kuamka uko ICU hujui ulifikaje

Bahati mbaya bongo hatuna interventions ungeenda zako tu "Hi my name is Deblabant" i guess JF inatosha lakn AA meeting
 
Body-eating spirit.

Screenshot_20240515-155946_1.jpg
 
Back
Top Bottom