Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

Soma hii kesi ya pombe ili UJUE ukinywa pombe unamnunywa shetani mwilini mwako. Hasa hasa tafuta kipengele Cha lord denning
 
Bila shaka ni ccm mwenzako ndio maana umemshauri vizuri... Hujawahi kuwa na content kabisa Toka utoke kiunoni mwa mama ako Sa100
msema ukweli ni mpenz wa Mungu, nitabaki kusema na kushauri ukweli hapo hapo upendre usipendreee :pulpTRAVOLTA:
 
Nina mwaka wa 20 huu nakunywa pombe sijawai ona athar yoyote dogo pombe sio kwa kila mtu we na jamaa yangu hamjaachana kitu huyu jamaa yangu akipiga chupa 3 tu atavua viatu surual na kuweka juu ya meza na kuanza kucheza huku yupo na boksa tu mamaee nyny mnatudharalisha wenzenu tunaonekana wa hovyo pumbv zenu
 
Huenda siyo sababu ya pombe, muone daktari isije ikawa kuna shida, ila kama ni pombe mpaka mikono inatetema maini yanafanyaje? Acha kunywa pombe anza dozi ya maji mengi.
 
Pombe siyo rahisi kuacha. Kwani we ni rahisi kuacha sex?
Utaacha tu maana kwa hilo linaloendelea usipoacha utavibrate badala ya kutetema hata hiyo glass au chupa hutoweza ishika uipeleke kinywani.
 
Back
Top Bottom