Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Ameyapiga mainiHayo maini ndugu yangu. Sijui kama yana yalichobakiza. Dah pole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameyapiga mainiHayo maini ndugu yangu. Sijui kama yana yalichobakiza. Dah pole.
Kuna tafiti ilisema njaa inachochea hasirauna njaa sasa wewe, wakupatie uji ama mtori kwanza kama supu hakuna utakaa sawa tu,
uwe una kula vizuri,sawa?🐒
kuna kaukweli kanachungulia hapo,Kuna tafiti ilisema njaa inachochea hasira
Kwani mlishikiwa bunduki kunywa ivo vichupa?CCM wameamua kutumaliza na hizi pombe za vichupa vya plastick. Bora wangehalalisha na gongo tujue moja
Bia kama unakunywa mbili tatu kwa wiki huwezi kutetemeka ila hizo spirits kama gin, konyagi, vodka, whiskey, etc tena uwe unakunywa nyingi na mara kwa mara kuna wakati hata ukishika kujiko mezani utakuta unakipeleka puani badala ya kinywani.Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
lishe duni hao,chunguza kula yao na pia wanakunywa kupita kiwango huku sanasana wakinywa liquorIlo ni kweli kuna mshkaji nae anatetunimeka ivo ivo ni mlevi wa kupindukia
unazifakamia mpka unakosa apateiti ya chakula kama mgonjwa na huku una njaa dah,CCM wameamua kutumaliza na hizi pombe za vichupa vya plastick. Bora wangehalalisha na gongo tujue moja
[emoji1787][emoji1787]akizingatia ataishi milele?
Hatari...pombe hizi [emoji1787][emoji1787]Alipofikia ni pabaya, hawezi ishi bila pombe, yupo radhi asile..
Mzee una "OCD" na CCM eee?!! [emoji1787][emoji1787]Hy CCM ikusaidie uraibu sasa
[emoji1787][emoji1787]Yote kayataka Allah kutuahidi mito ya pombe na mademu bikraaa......
[emoji1787][emoji1787]Ndio sababu unawatukana Mbowe, Lissu na CHADEMA sana pia??
[emoji1787]Hiyo mito ya pombe huko peponi ni ya nini kama pombe ni haramu!!??
"Eye opener"Hiyo ndio hobbling. Asubuhi unasikia mtu anasema ngoja nitoe lock, ndio anaondoa hiyo hali ili aweze kufanya kazi.