Kumbe raia kumtuhumu mtu kwa mauaji ni kosa la jinai pia!

Kumbe raia kumtuhumu mtu kwa mauaji ni kosa la jinai pia!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
 
Kwa mfano Mwamposa au Gwajima wakisema waende mahakamani wao kuwa kutuhumiwa utapeli inawezekana?
Sijui sheria mimi. Lkn nasikia juzi Mbowe kamuandikia barua Msigwa kwamba aombe radhi kumchafua au atampeleka mahakamani. Jee Mbowe kakosea?
 
Back
Top Bottom