Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Sep 20, 2024 #1 Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
E Error 404 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2022 Posts 2,151 Reaction score 3,493 Sep 20, 2024 #2 Unakuwa unadaiwa nini hapo kwa uliyemtuhumu ?
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 6,846 Reaction score 10,288 Sep 20, 2024 #3 Si anatakiwa aende alietuhumiwa mahakamani? Au sijui sheria mimi?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Sep 20, 2024 Thread starter #4 Malaria 2 said: Si anatakiwa aende alietuhumiwa mahakamani? Au sijui sheria mimi? Click to expand... Kwa mfano Mwamposa au Gwajima wakisema waende mahakamani wao kuwa kutuhumiwa utapeli inawezekana?
Malaria 2 said: Si anatakiwa aende alietuhumiwa mahakamani? Au sijui sheria mimi? Click to expand... Kwa mfano Mwamposa au Gwajima wakisema waende mahakamani wao kuwa kutuhumiwa utapeli inawezekana?
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 6,846 Reaction score 10,288 Sep 20, 2024 #5 Yoda said: Kwa mfano Mwamposa au Gwajima wakisema waende mahakamani wao kuwa kutuhumiwa utapeli inawezekana? Click to expand... Sijui sheria mimi. Lkn nasikia juzi Mbowe kamuandikia barua Msigwa kwamba aombe radhi kumchafua au atampeleka mahakamani. Jee Mbowe kakosea?
Yoda said: Kwa mfano Mwamposa au Gwajima wakisema waende mahakamani wao kuwa kutuhumiwa utapeli inawezekana? Click to expand... Sijui sheria mimi. Lkn nasikia juzi Mbowe kamuandikia barua Msigwa kwamba aombe radhi kumchafua au atampeleka mahakamani. Jee Mbowe kakosea?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Oct 3, 2024 #6 Duh