Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

Raphael Mtui

Member
Joined
Nov 26, 2024
Posts
78
Reaction score
204
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.

Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!

Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?

Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?

Tumtafuteni Mungu aisee!!

Tuitazame hii video.


View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
 
Hayo madawa ni chanzo cha mapato kwa nchi
1000047213.jpg
 
Back
Top Bottom