Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

Kwani wewe hujui kuwa CIA ni kinara wa kuuza madawa ya kulevya?. Unaijua IRAN CONTRA AFFAIRS SCANDAL?

Kwani hujui kuwa OPIUM WAR kati ya Uingereza na China ni sababu ya Uingereza kuuza madawa ya kulevya ndani ya China?

Je Unafahamu kuwa Taliban ile ya akina Mullah Omar Mullah ilifanikiwa kudhibiti kilimo cha zao madawa ya kulevya, Ila marekani iliposhikilia hiyo nchi hicho kilimo kikarejea tena kwa kasi kubwa?

============================================================

Mambo ya nchi ni magumu!
 
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.

Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!

Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?

Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?

Tumtafuteni Mungu aisee!!

Tuitazame hii video.

View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG

Hata CIA wamewahi kufanya biashara ya ngada. Na walikuwa wanatumia pesa za ngada kwenye mambo ya kijinga kama vile kusupport UNITA ya Angola, kupindua serikali za Amerika ya kusini na kusaidia vikundi vya kigaidi duniani.
 
Propaganda... If you want to kill a dog just give it a bad name... Hapo wanataka kufanya aonekane mbaya basi na kuharibu legacy yake ili watawala wa Sasa hivi wapate kibali machoni pa raia.
 
Hao wazungu wanaotengeneza magonjwa watu wafe na kutengeneza chanjo wana tofauti gani na Assad muuza madawa...
si kila magonjwa yanatengenzwa, asilimia kubwa ni natural occurance. Magonjwa yamekuwepo since enzi za manabii na yatazidi kuwepo
 
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.

Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!

Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?

Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?

Tumtafuteni Mungu aisee!!

Tuitazame hii video.

View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG

"Ukimshangaa Mussa basi hujamuona Firauni"
Unastaajabu kwa taarifa za kuonekana unga nyumbani kwa Assad,ndio tuamini kwamba hujafikiwa na taarifa za kukutwa Poda kwenye Ikulu ya Biden!?(white house).
 
Kwani wewe hujui kuwa CIA ni kinara wa kuuza madawa ya kulevya?. Unaijua IRAN CONTRA AFFAIRS SCANDAL?

Kwani hujui kuwa OPIUM WAR kati ya Uingereza na China ni sababu ya Uingereza kuuza madawa ya kulevya ndani ya China?

Je Unafahamu kuwa Taliban ile ya akina Mullah Omar Mullah ilifanikiwa kudhibiti kilimo cha zao madawa ya kulevya, Ila marekani iliposhikilia hiyo nchi hicho kilimo kikarejea tena kwa kasi kubwa?

============================================================

Mambo ya nchi ni magumu!
Iran Contra naifahamu
 
Hata CIA wamewahi kufanya biashara ya ngada. Na walikuwa wanatumia pesa za ngada kwenye mambo ya kijinga kama vile kusupport UNITA ya Angola, kupindua serikali za Amerika ya kusini na kusaidia vikundi vya kigaidi duniani.
Noma sana!
 
Propaganda... If you want to kill a dog just give it a bad name... Hapo wanataka kufanya aonekane mbaya basi na kuharibu legacy yake ili watawala wa Sasa hivi wapare kibali machoni pa raia.
Umeona lakini hizo storage za madawa hapo palace?
 
SI yanawekwa??? We hujui maana ya propaganda. Huyu wanafuta legacy yake na babake... Maana huoni hata kaburi la babake limeharibiwa ( Sasa we umeona wapi mwislamu anaharibu kaburi la marehemu wakati mtumie alikataza???)
He is being reduced to a used toilet paper so He can be flushed down the toilet for good.
 
Bas tusikilizie!!
 
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.

Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!

Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?

Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?

Tumtafuteni Mungu aisee!!

Tuitazame hii video.

View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG

Wewe ulikuwepo? nchi za magharibi zimekuathiri na kila propaganda wanayoileta, wanataka ionekane ilikuwa sahihi Assad kuondoshwa madarakani, na shida kubwa ni kuwadhililisha waislam, sasa kama Assad alikuwa na hiyo biashara kule wao wanapandana wanaume kwa wanaume ni nani msafi?
 
Nakubaliana na wewe inapokuja ishu ya propaganda!
 
Back
Top Bottom