Raphael Mtui
Member
- Nov 26, 2024
- 78
- 204
Ndo kuuza madawa kudhoofisha hao hao tena wanaokufanyia kazi uibe mkuu?Pesa inatafutwa Kwa nguvu mkuu Kila mtu anataka heshima na heshima n pesa ukiwa na uhai ...
Juzi uchaguzi wa serikali za mitaa michango ya wahisani ilkw paundi laki tisa sasa mbowe hawezi acha heza hizo kizembe.Ukiona kiongozi anag'ang'ania madaraka ujue kuna deal anapiga hapo.
Hata Mbowe akitoka mtaona mengi sana.
Huo mstari wa mwisho ndo nilitaka kuandikaUkiona kiongozi anag'ang'ania madaraka ujue kuna deal anapiga hapo.
Hata Mbowe akitoka mtaona mengi sana.
Hahaha!!Halafu jamaa kama teja flani hivi! Basi tu Mkuu wa nchi hasemwi vibaya maana hatuna budi kutii mamlaka.
Noma sana!Unyama unyama tu,,,,!!View attachment 3178264
Unatafuta ugomvi na Wachaga ?Ukiona kiongozi anag'ang'ania madaraka ujue kuna deal anapiga hapo.
Hata Mbowe akitoka mtaona mengi sana.