Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Yule ni msyria alizaliwa na kukulia Uingereza. Wasyria wapo wengi sana nchi za Ulaya na MarekaniKumbe kile kimama ni cha uk,kweli kabisa kimekaa kizungu zungu
Hata CIA wamewahi kufanya biashara ya ngada. Na walikuwa wanatumia pesa za ngada kwenye mambo ya kijinga kama vile kusupport UNITA ya Angola, kupindua serikali za Amerika ya kusini na kusaidia vikundi vya kigaidi duniani.Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?
Tumtafuteni Mungu aisee!!
Tuitazame hii video.
View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
si kila magonjwa yanatengenzwa, asilimia kubwa ni natural occurance. Magonjwa yamekuwepo since enzi za manabii na yatazidi kuwepoHao wazungu wanaotengeneza magonjwa watu wafe na kutengeneza chanjo wana tofauti gani na Assad muuza madawa...
"Ukimshangaa Mussa basi hujamuona Firauni"Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?
Tumtafuteni Mungu aisee!!
Tuitazame hii video.
View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
Kama wanavyobwia wa familia ya Biden.Ndio maana huko middle East wengi akili zao fyatu kumbe ni kwasababu yanalishwa madawa ya kulevya
Iran Contra naifahamuKwani wewe hujui kuwa CIA ni kinara wa kuuza madawa ya kulevya?. Unaijua IRAN CONTRA AFFAIRS SCANDAL?
Kwani hujui kuwa OPIUM WAR kati ya Uingereza na China ni sababu ya Uingereza kuuza madawa ya kulevya ndani ya China?
Je Unafahamu kuwa Taliban ile ya akina Mullah Omar Mullah ilifanikiwa kudhibiti kilimo cha zao madawa ya kulevya, Ila marekani iliposhikilia hiyo nchi hicho kilimo kikarejea tena kwa kasi kubwa?
============================================================
Mambo ya nchi ni magumu!
Noma sana!Hata CIA wamewahi kufanya biashara ya ngada. Na walikuwa wanatumia pesa za ngada kwenye mambo ya kijinga kama vile kusupport UNITA ya Angola, kupindua serikali za Amerika ya kusini na kusaidia vikundi vya kigaidi duniani.
Umeona lakini hizo storage za madawa hapo palace?Propaganda... If you want to kill a dog just give it a bad name... Hapo wanataka kufanya aonekane mbaya basi na kuharibu legacy yake ili watawala wa Sasa hivi wapare kibali machoni pa raia.
Kiranga ujue mimi ni Mchaga mmoja 'mbadi' sana!Wachaga nawamudu mkuu, wakileta za kuleta na pull rank za Uchifu kwetu machifu wa Kichaga πππ
SI yanawekwa??? We hujui maana ya propaganda. Huyu wanafuta legacy yake na babake... Maana huoni hata kaburi la babake limeharibiwa ( Sasa we umeona wapi mwislamu anaharibu kaburi la marehemu wakati mtumie alikataza???)Umeona lakini hizo storage za madawa hapo palace?
Bas tusikilizie!!SI yanawekwa??? We hujui maana ya propaganda. Huyu wanafuta legacy yake na babake... Maana huoni hata kaburi la babake limeharibiwa ( Sasa we umeona wapi mwislamu anaharibu kaburi la marehemu wakati mtumie alikataza???)
He is being reduced to a used toilet paper so He can be flushed down the toilet for good.
Nakwambia Wachaga nawamu- nawamudu kweliii πππKiranga ujue mimi ni Mchaga mmoja 'mbadi' sana!
Wewe ulikuwepo? nchi za magharibi zimekuathiri na kila propaganda wanayoileta, wanataka ionekane ilikuwa sahihi Assad kuondoshwa madarakani, na shida kubwa ni kuwadhililisha waislam, sasa kama Assad alikuwa na hiyo biashara kule wao wanapandana wanaume kwa wanaume ni nani msafi?Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!!
Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje?
Yaani, familia inaingiza hela kuliko nchi tena kwa namna hiyo?
Tumtafuteni Mungu aisee!!
Tuitazame hii video.
View: https://youtu.be/u9FDVayJSB8?si=s6lcjzzKieHpvWoG
Nakubaliana na wewe inapokuja ishu ya propaganda!Wewe ulikuwepo? nchi za magharibi zimekuathiri na kila propaganda wanayoileta, wanataka ionekane ilikuwa sahihi Assad kuondoshwa madarakani, na shida kubwa ni kuwadhililisha waislam, sasa kama Assad alikuwa na hiyo biashara kule wao wanapandana wanaume kwa wanaume ni nani msafi?
Ccm yote mapumbavu ndio maana mnasonona pamoja na ushindi wenu fake.Juzi uchaguzi wa serikali za mitaa michango ya wahisani ilkw paundi laki tisa sasa mbowe hawezi acha heza hizo kizembe.