Kumbe Rais Putin anatumia Boeing. USA hakwepeki

Kumbe Rais Putin anatumia Boeing. USA hakwepeki

... tangu 1992 (30 years ago) zimetengenezwa 30 tu? Yaani wastani wa 1 kila mwaka? Tatizo nini? Mtaji? Soko? Au? Hizo sio ndege za kupanda.
Air Force one ya US zimetengenezwa ngapi? Haya hapa chini si majibu yangu ni kutoka mtandaoni. Vinginevyo nitakuwa sijaelewa swali.
===
Air Force One, any aircraft of the U.S. Air Force that is carrying the president of the United States. Strictly speaking, Air Force One is the radio call sign adopted by any Air Force plane while the president is aboard. In common parlance, however, the call sign has become identified with specific aircraft reserved for use by the president for travel within the United States or abroad. Since 1991 two such aircraft have been in service: identical Boeing 747-200B jumbo jets bearing the tail numbers 28000 and 29000 and the Air Force designation VC-25A.

Air Force One | History and Facts
°°°°°
 
.... inawezekana na mimi sijaelewa hoja; unamaanisha Ilyushin Il-96-300PU ni equivalent na Air Force One? Sio Boeing tena?
 
.... inawezekana na mimi sijaelewa hoja; unamaanisha Ilyushin Il-96-300PU ni equivalent na Air Force One? Sio Boeing tena?
Mkuu unapoongelea Boeing ni Kampuni ya kutengeneza ndege ila 787-8 unazungumzia aina ya ndege inayotenezwa na kampuni ya Boeing.

Usione ajabu kutengenezwa 30 maana hiyo ndege anayotembelea Putin haiwezekani kuwa ndege ya aboria ata siku moja, na ata kama zilitengenezwa 30 basi jua katika hizo hazifanani uwezo lazima hiyo anayo tembelea Putin itakuwa juu zaidi.

Umeona ata Airforce One asiri yake 747-200B jumbo jets ila haina maana zinafanana kila tu na Airforce One lah ni tofauti tena sana tu.
 
nilicho gundua ni kwamba alsilimia kubwa ya waafrica wapo upandea wa RUSSIA
ila kuunga mkono Urusi ni ujinga wa kiwango cha reli maana urusi hapiganii maslai yetu wala ya mtu yeyote mbali na warusi so ilibid waafrik tuutumie huu mgogoro kupiga hatua ila tumekubali kubakia nyuma , na ss hv tumejiwek nyuma ya Uruai it means tumekubali kuwa vikatuni wa watu fulan , kpnd hiki ndo ilikuwa simple kuwatumia wazung kukuza uchumi maana wanajiandaa kuwekeza ili kukabiliana na China , hz Fursa Kenya kaziona na kashachangamkia tyr
 
dogo nenda shule kwanza kajifunze kufanya utafiti kabla ,hujatapika uhalo wako!! Ilushin unazijua au !!? Ndo nyny huwa mnapelekwa vitani flont line Kama chambo .....shut......up!!! wewe na zele hamna tofauti.bogas kabisaa!!!

Rudia Tena kuleta uharo Kama huu uone!!!
 
Mleta mada anaugua ugonjwa wa kuipenda Marekani kupita kiasi. Pendekezeni tiba ya ugonjwa huu hatari unaodumaza fikra na kumfanya mgonjwa awe chawa wa mabeberu [emoji16][emoji16]

Screenshot_20220704-185638.jpg
Screenshot_20220704-185828.jpg
Screenshot_20220704-185654.jpg
Screenshot_20220704-185808.jpg
Screenshot_20220704-185745.jpg
 
Back
Top Bottom