Kumbe Rais Samia alisema ukweli kuhusu kesi ya Mbowe. Watanzania tutembee kifua mbele ikibidi vua hata shati tunaenda vizuri

Legendary Late John Pombe Magufuri.
 
Wapo Marais hawajawai kuua Rais wa Manzase,Rais wa Wasafi,Rais wa TFf,Rais wa FiFa nk wako wengi sana
Unataka kuniambia hawajawahi kuua hata inzi au kuku kwa karumanzira!
 
Wewe hujui maana ya neno "propaganda", unalitumia tu kwa mazoea huku ukiwa mjinga juu yake.
Ni 'propaganda' kusema Samia alihojiwa na BBC na kusema kwamba Mbowe alikimbilia Nairobi; wewe hukumsikia kwa masikio yako kwenye mahojiano hayo?

Sasa angalia tofauti na haya uliyoandika wewe hapo chini kuhusu chaguzi zilizofanyika 2010, 2015, 2020. Unaweza kusema chaguzi hizo zilifanyika kwa haki na wananchi walipata viongozi waliowataka bila ya mizengwe?

Pamoja na kutaka uonekane wewe ni mjuzi wa kufanya propaganda, lakini kiwango cha ujuzi wako kinaonekana kuwa kiko chini sana.
 
Raisi alizungumza kuhusu kesi ya Mbowe na akasema kwamba Mbowe mwenyewe alikuwa anafahamu uwepo wa kesi hiyo mahakamani..

Pia raisi hakuzungumzia kuhusu hukumu ya kesi ya Mbowe kwani anafahamu fika kwamba kesi hiyo bado ipo mahakamani na ni mahakama pekee inayoweza kuamua kuhusu kesi hiyo.

Hii ya kusema kuwa raisi alisema Mbowe kaisha hukumiwa kwa ugaidi ni uongo mtupu ambao hauwezi kuachwa hivi hivi. Kuhusu haki ya uchaguzi bila shaka unajua kwamba miaka yote uchaguzi huwa wa haki na huru ndio maana kina Mbowe, Lisu, Lema nk waliweza kushinda chaguzi mbali mbali na kutangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi.

Ila kwa vile miaka yote walioshinda hakuna cha maana walichofanya katika majimbo yao zaidi ya kujineemesha wao na watoto wao ndio maana mwaka 2020 wananchi wakaamua kuwagalagaza kwa kuwanyima kura, na dalili za unyimwaji wa kura kutoka kwa wananchi zilianza kuonekana pale mwenyekiti wa Chadema na mbunge wa Hai ndugu Freeman Mbowe alipotupiwa chupa za maji na kuzomewa na wapiga kura wake mwenyewe kutokana na kuchoshwa na ulaghai wa mwanasiasa huyo na genge lake.
 
Hii Kesi Itaenda kutufumbua macho Mambo mengi sana Juu ya huu utawala wa Majiccm wa mda mrefu

Tusubiri!
Mungu huwa ana makusudi yake ktk kilajambo. Amemtumia mtumishi wake Freeman Aikael Mbowe kufichua uovu wa Ibilisi (CCM) na malaika zake (polisi)
Hakika Mungu ni mwema

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kama kuna ukweli hivi!!! 🤔
 
Uzuri wake malipo ni hapahapa duniani
 
HUU NI UCHOCHEZI TYPICALLY
 
Wewe unanifahamisha mimi kwamba "miaka yote uchaguzi huwa wa haki na huru...."? Tena unadai kabisa "najua"?
Sasa kama nikiuita huu ni upumbavu utaona kuwa nakuonea kwa kukupa sifa hiyo? Wewe ni nani hadi unipangie ninachojua?

Kiufupi ni kwamba huna uelewa, au hutaki kutumia akili yako kuelewa mambo yaliyo nje ya yale uliyokariri kuyakubali hata kama ni mambo ambayo yapo wazi kabisa kuyaelewa.
 
Aiseee !!
 
Nilishasema sana bavicha na bawacha mnajisumbua sana kuanzisha viji threads vya kuomboleza si haba kwa siku viji threads 20 ila haitamsaidia mbowe na wenzake kunyongwa au kifungo Cha maisha

Tanzania bila ugaidi inawezekana
 
Rais kauli zake zinatutia mashaka sana.
 
Wanamuomboleza mbowe kwa kuikashifu kumbe ndio wanazidi kudata na kuchanganyikiwa
 
Mungu huwa ana makusudi yake ktk kilajambo. Amemtumia mtumishi wake Freeman Aikael Mbowe kufichua uovu wa Ibilisi (CCM) na malaika zake (polisi)
Hakika Mungu ni mwema

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Vituko jamani mbowe kawa mtumishi wa mungu ukishangaa ya firauni utashagaa ya mtumishi mbowe mbavu zangu jamani[emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…