mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Oyaa mimi kwa mach
Mkuu bila shaka hawa ndio walikulisha matango pori kama walivyolishwa wenzako enzi za Lowasa na baadae 2015 kukiri wenyewe katika kampeni zao kuwa yale waliyokuwa wanaongea kuhusu Lowasa yalikuwa matango pori. Hata haya matango ya sanduku za kura siku mmoja wao kati ya Lisu, Mnyika au yoyote akijitoa chamani ataongea ukweli kuwa madai ya kuiba masanduku ya kura sio ya kweli. Inahitaji mtu ukose hata elimu ya chekechea ndo uwaamini tena hawa jamaa.
Oyaa miye kwa macho yangu niliona wale wanachama wenu wenye mavazi ya police wakiiba masanduku na kufukuza mawakala wa upinzani! Tusizinguane ovyooo!