Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

Mambo mengine ya ovyo kabisa. Bora wana magwanda waamke kama wenzao wa kule kwa "... my wife, my son, and all my friends to make noise....".
 
Kwani ana umri gani?
2033 si atakua umri umemtupa mkono sana.
 
Of all the people you've mentioned I feel pity for Dr. HM as it seems he has unexpectedly and automatically lost the battle he never begun. Au bado kuna namna?
 
Amelazimishwa na nani? Ni yule kilaza tu alikuwa anaongea jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…