Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu
Nilikuwa naangalia series ya The American Experiment ikielezea how America was founded na walivyoandika katiba
Kumbe Katiba ya Marekani ya mwaka 1787 iliandaliwa na wazee 55 tu, wakiongozwa na George Washington kama mwenyekiti.
Walijifungia katika ukumbi mmoja wenye joto jijini Philadelphia (Philadelphia Convention) na kukamilisha rasimu ya katiba hiyo ndani ya siku 116 pekee (Mei 25 hadi Septemba 17, 1787)
Wakati huo hawakuwa na intaneti, laptop wala ChatGPT.
Walitumia kalamu za manyoya ya ndege na wino kuandika katiba ambayo imeendelea kutumika kwa karne nyingi.
Sasa unajiuliza, sisi Bongo tukiwa na simu za mkononi, laptop, wataalamu wengi wa sheria na bajeti ya kutosha, inakuwaje mchakato wa Katiba Mpya umekwama kwa miaka na miaka?