Taharuki iliyotokea jana Miss Gonzalez nafikiri umeiona hata wewe na Magori ilibidi muingilie kati kutoa maneno ya faraja huko twitter na instagram na bado leo pia na wewe umerusha vijembe vya kiaina
Yote haya ni kutokana na jinsi team inavyopwaya nafasi muhimu za namba 9 na namba 6 mlizokuwa na karibu miezi 3 kuzihangaikia MKAZIPUUZA, imani kwenu imepungua sana mmekuwa kama yule kiongozi mkubwa serikalini tena shabiki wa simba anayeongeaga mambo ya uongo uongo kila siku ambaye hata akikuambia kesho jua litawaka unajiuliza mara mbilimbii kama ni kweli
Shukuruni sana huyo manzoki inaonekana ka calculate kuja kutengeneza ufalme wake simba na siyo kuuchukua wa mayele na pia yanga wameonyesha kwamba wakitaka kitu kizuri ubahili kwao ni msamiati ni vile tu jamaa kawakatalia
Ndugu zangu YANGA LEO SAA TANO WANAMTAMBULISHA KEVIN TWISSA NA JACKSON GROUP YAKE kusimamia digital marketing and branding, smart move sana.
Mpuuzi wewe, ingekuwa mihemko magori na Gonzalez wangepanick? umeona vitu walivypost twitter na instagram?
Yaani Barbara anaringia picha ya simba na mtoto wake aliyopost manzoki?Barabra wa ku comment picha ya Hersi na manzoki na ku refer picha yake na etoo kwamba ingekuwa hivyo hata etoo ingekuwa tumemsajili?
Kama hawakupaniki wange relax, mood ya wanasimba ilibadilika kabisa jana HIYO NI DALILI KWAMBA VIONGOZI KWA SASA WANAONEKANA NI WAONGOONGO TU siyo kama miaka ya kurudi nyuma wakisema kitu mnakaa mnawaamini
he humfahamu??? halafu nyie mtu akibishana na nyie utasikia we dogo we wa juzi tu..umeanza kushabikia mpira lini? umekuja mjini lini?
Twissa ni marketing guru kibongobongo ,hiyo jackson group yake ilimnyanyua sana mwakinyo hapa katikati
Unatokea kijiji gani hapa Tanzania na Dar ulikuja kwa basi au treni au lori la mizigo, kelvin twissa usimfahamu kweli na utakuta unajiita mtoto wa mjini
Unatokea kijiji gani hapa Tanzania na Dar ulikuja kwa basi au treni au lori la mizigo, kelvin twissa usimfahamu kweli na utakuta unajiita mtoto wa mjini
Taharuki iliyotokea jana Miss Gonzalez nafikiri umeiona hata wewe na Magori ilibidi muingilie kati kutoa maneno ya faraja huko twitter na instagram na bado leo pia na wewe umerusha vijembe vya kiaina
Yote haya ni kutokana na jinsi team inavyopwaya nafasi muhimu za namba 9 na namba 6 mlizokuwa na karibu miezi 3 kuzihangaikia MKAZIPUUZA, imani kwenu imepungua sana mmekuwa kama yule kiongozi mkubwa serikalini tena shabiki wa simba anayeongeaga mambo ya uongo uongo kila siku ambaye hata akikuambia kesho jua litawaka unajiuliza mara mbilimbii kama ni kweli
Shukuruni sana huyo manzoki inaonekana ka calculate kuja kutengeneza ufalme wake simba na siyo kuuchukua wa mayele na pia yanga wameonyesha kwamba wakitaka kitu kizuri ubahili kwao ni msamiati ni vile tu jamaa kawakatalia
Ndugu zangu YANGA LEO SAA TANO WANAMTAMBULISHA KEVIN TWISSA NA JACKSON GROUP YAKE kusimamia digital marketing and branding, smart move sana .